Madaktari huingia jeshini kwa kupenda au kutafuta maslahi bora? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari huingia jeshini kwa kupenda au kutafuta maslahi bora?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jan 31, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wakuu hili ni swali muhimu la kujiuliza kama kweli madaktari wanaoenda jeshini walipanga kufanya hivyo au ni kwa sababu ya maslahi na mazingira duni ya madaktari?hata kama madaktari hawa ni clinical officers je ni kweli dhamira zao ziliwatuma kuingia huko au ni kutafuta maslahi kama walivyo wataalamu wengi waliojiingiza kwenye siasa.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Kwa miaka hii hakuna wito wa kazi, wala profession hazina ishu tena!
  Ninamjua Clinical Officer anayefanya kazi bank clerk hapa mjini!
  Kazi ni kazi Mkuu!...bora watu wapate bapa jioni!
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Could be both...wengine wanapenda geshi wengine njaa zimewapeleka. Wengine wanaenda kufanya kazi kama kituo cha kazi maana hawawezi kujaa kijitonyama au kule magogoni
   
Loading...