Serikali yetu ilikusudia kushughulikia mgomo wa madaktari kwa slyle ya mheshimiwa Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yetu ilikusudia kushughulikia mgomo wa madaktari kwa slyle ya mheshimiwa Pinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayoscissors, Jan 31, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kitendo cha serikali kukaa kimya tangu sakata la mgomo wa madaktari unaanza hadi kufikia siku ya saba na kutoa maauzi yasileta tija ilikuwa ni mpango wa serikali kutafuta kuungwa mkoono na wananchi.
  Waziri mkuu na waziri wa afya walikimbilia vyombo vya habari badala ya madaktari.
  Uongozi wa wizara ya afya ulitoa ujumbe ndani ya nusu saa kuwa wanakuja star light wakitegemea watagomewa ili waambie wananchi madaktari ni wakorofi
  Waziri mkuu aliwataka madaktari waonane naye jpli na taarifa kkatoa jioni na pamoja na kupelekewa barua nyumbani kwake bado alikwenda Karimjee na je alitegemea kukutana na madaktari gani?
   
Loading...