Kanuni ya 64 vis-à-vis hoja Binafsi ya Mhe. MNYIKA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanuni ya 64 vis-à-vis hoja Binafsi ya Mhe. MNYIKA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Meitinyiku L. Robinson, Jan 31, 2012.

 1. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi nimeguswa sana na hoja ambayo Mnyika anatazamia kuiwakilisha Bungeni kwani zaidi ya yeye kupata ufafanuzi wa anayohitaji naamini Watz tulio wengi ambao hoja hiyo hatukuweza kuielewa kwa undani wakati huo basi tunawezapata undani wa hoja hiyo lakini vile vile inaweza ikasaidia kuwatendea haki wale ambao ama walionewa kwa kuwasilishwa kwa hoja au kuchafuliwa majina yao na kuonekana wenye dhambi katika jamii na mwisho tutaweza kuona ni jinsi gani baadhi ya watu hufanya vitu kizindaki na kinafki kwa ajili ya ubinafsi wao na kuishia kujiita wapambanaji.

  Pamoja na nia nzuri hiyo ya Mh. John hizi Kanuni za Kudumu za Bunge hasa Kanuni ya 64 inayozungumzia "Mambo yasiyoruhusiwa Bungeni" kama vile inaleta mizengwe hasa ile fasili ya (1) (c) naomba ninukuu

  "............ Mbunge hatazungumzia jambo lolote ambalo lilijadiliwa na kutolewa maamuzi kwenye Mkutano uliopo au uliotangulia.........; isipokuwa kwa kutoa hoja mahususi inayopendeza kuwa uamuzi huo uangaliwe upya"

  Sasa hii Kanuni imekaa kimtego mosi ni kwamba ina Claw back Clause lakini pili mwisho inamalizia kuwa labda Mbunge atoe hoja MAHUSUSI of which mimi nadhani ili iwe mahususi au lah itakuwa ni discreation ya Spika kuamua hivyo mi napata shaka kidogo juu ya Kanuni hii inaweza tumika kudismiss hii hoja unless Mh Mnyika awe naye amejipanga vizuri.....

  Naombeni ushauri wenu juu ya hili la Kikanuni. Je kama kweli watatumia Kanuni hii je Mnyika atakuwa na Haki Kikatiba kutumia Ibara ya 18???
   
 2. k

  kiponzelo Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yule mnyalu atakwepesha na hivi usiku huu anajifua namna ya kukwepesha
   
 3. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaha let us pray for the best aiseee!!!!
   
 4. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Hoja ipi hapa ambayo Mh Mnyika amepanga kuwasilisha naomba unijuze
   
 5. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Mnyika has only a year ahead before his eminence begins to diminish and subsequently follow Zitto's trend. It's undeniable fact that no any young politico's vigor has ever come closer to Zitto's vitality as he was able to capture public and media attention but all of his punch came to an end abruptly.
   
Loading...