Uwajibikaji, Utendaji, na Uwezo wa EL Vs. Usafi wa Dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwajibikaji, Utendaji, na Uwezo wa EL Vs. Usafi wa Dr. Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Meitinyiku L. Robinson, Jan 31, 2012.

 1. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza nikiri humu ndani baadhu wameshachoshwa kujadili mambo ya EL et all na Dr. Slaa vile vile ila isiwe sababu ya mtu kubaki na kitu moyoni ilihali una kiamini kwangu mimi ni bora ukitoe hadharani watu wakejeli, wanune, wagombe ila ujumbe umefika kwa kawaida hakuna jukwaa gumu kama la Siasa popote pale.

  Baada ya utangulizi huo nikiri kuwa kama si EL 2015 basi ni Dr. Slaa if at all watakubali na kupitishwa na vikao husika ndani ya Vyama vyao. Ila binafsi nimekuwa nikistaajabu sana juu ya kile kigezo kinachotumika kuonesha kuwa EL hawezi kuwa Rais wa Nchi eti kigezo chenyewe ni neno "fisadi" sifa zooooooooote anazo ila tatizo ni hilo moja tu! Bado sijapata mtu wa kuthibitisha pasipo shaka juu ya ufisadi huo wa EL kwangu zinaendelea kuwa ni tuhuma kama ambavyo Slaa na wengine wameku wakituhumiwa ktk mambo mbali mbali tuhuma ambazo zimewafanya watz kusahau hata ile Ibara ya 13 ya Katiba yetu, tuhuma ambazo wahusika hawako tayari kuzithibitisha au kuzikanusha ili mradi
  Tu ziendelee kuwepo ili kuwekea dosari wengine.

  Ila niseme vile vile kama EL hatachafuliwa leo ni nani basi atakayestahili kuchafuliwa badala yake manake ameshaonesha kuwa tishio kwa wenzie na ndiyo maana sishangai kutokuona ama Slaa au Mbowe akimtusi au Kuendelea kumtuhumu EL manake nao pia wanajua yeye EL anastahili kipi na ni kipi hakistahili na Slaa alishawahi kusema maneno flani pale NMC ila kwa kuwa Watz hawakutaka kumwelewa vyema wakadhani nia yake ni kumsafisha EL. Niendelee kusema tuhuma alizonazo EL hazitakaa kamwe zifanane na za Slaa japo wote vile vile wanaweza wasiwe wasafi kiasi hicho kubwa ikiwa ni kwa
  Sababu nafasi alizowahi kuzishika EL haziwezi kumwacha bila kutuhumiwa.

  EL amekuwa Waziri kwa kipindi kirefu na hatimaye PM nafasi ambazo Slaa hakuwahi kuzishika na kama angefanikiwa kuzishika basi asingekuwa na namna zaidi ya yeye pia kutuhumiwa kama ilivyo kwa EL. Ni sawa na kusema sifa nilizo nazo mimi leo ni tofauti sana na alizo nazo au atakazo kuwa nazo mwanangu......

  Hivyo ili kutofautisha (uadilifu na usafi) kwangu Slaa nadhani Watz wana haki ya kuamini kuwa Slaa ni msafi manake ili nimwite mwadilifu kuna mengine yatahitaji kuthibitishwa manake uadilifu ni neno jingine zaidi. Sasa usafi huu amabo tunadhani Slaa anao ndio uanao declare null and void zile sifa ambazo EL anazo kubwa ikiwa uwajibikaji, utendaji na uwezo wake binafsi?? Leo Watz wanajiuliza ktk mgomo huu wa Madaktari hawapati picha kama EL angekuwa bado ni PM manake leo ungekuta tayari maamuzi yameshafanyika!!

  Nchi hii ilipofikia sasa inahitaji mtu wa namna yake tupelekwe speed ili tufidie yale ambayo tumeshindwa kuyafikia kwa miaka 10 aliyokaa huyu anayetarajia kuondoka na baada ya hapo tuendelee na vipao mbele vingine, na wao wanajua bila EL aliye jasiri Nchi hii itayumba baadae na kwa kuwa sumu haijaribiwi kwa kuonjwa basi wao wajaribu tu kukosea katika kupitishwa mtu hapo ndipo option B ya kwangu na wengine itakapo chukua Nchi bila kutumia nguvu kubwa!!!!

  Wengine wamebaki kuyaasa Makanisa eti wasikubali kutumika na hao wao wanaowaita mafisadi mi nadhani wabaki wakijua kuwa hata hayo makanisa nayo na hao wanaowaongoza ni watz na wenye akili timamu na ni wasomi wa ngazi mbali mbali hivyo wanajua mchele ni upi na chuya ni ipi hawangoji tena kuambiwa kamwe. Yafaa nao pia wakialikwa wachange na watulie si tena kutumia jukwaa la Kanisa kushambulia wengine manake hapo ndipo wanapoharibu na kuonekana wanafki.

  Namweshimu sana Daktari na ataendelea kuwa option B yangu ila JF inajua, NEC inajua na Dunia inajua kuwa EL ni kifaa kingine........
   
 2. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  UJINGA MTUPU HAPO JUU..."WATU TUNAWAZA MAMBO CRITICAL kAMA MGOMO WA MADAKTARI TUSOLVE VIPI..,WATU WANAKUFA" WEWE NI EL EL EL EL ....$%^4^^7
   
 3. M

  Muggssy Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe umjitolea kumsafisha EL umelipwa Shilling ngapi au na wewe upo kwenye mtandao wakifisadi. huwezi kumsafisha mtu ambae amechafuka kwa kiwango kikumbwa kama cha EL. Kwanza nashanga unamsafisha EL kwakutumia maji Taka unadhani atasafishika sanasana unaendelea kumchafuwa bora ukae kimya Hivi unahitadi ushahidi gani kumtenganisha EL na Richmond? Pia una hitaji ushahidi gani kumtenganisha EL na ule mkataba wa UV ccm? Mwanahalisi aliweka kilakitu hadharani EL katishia kuwapeleka Mahakamani mbona hadi leo wandundatu mitani kina Kubenea kama wangekua waongo kwa jinsi EL anvoutaka urais kwa Hudi na uvumba wale wangebaki salama kama wangekua waongo? EL akubali kuchafuliwa hivi hivi. Narudia huwezi kumsafisha EL kwa maji taka unazidi kumchafua bora ukae kimya
   
 4. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You might be right but very late! Yani bado unawaza kweli siku ya tano watu wamegoma unasema unawaza, wagonjwa wanaendelea kufa bado unawaza, majibu ya Serikali bado hatuyaoni eti wewe bado unawaza what a great thinker might you be mzee! Your thoughts are hopelessly time barred! Ndo mana wengine hawawazi tena wanaendela na suluhu'
   
 5. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nawe umetumia haki yako, ila binasfi akigombea kwa sasa naamini yeye ndiye atapata kura yangu, labda nigombee mimi. Else Dr Slaa kwangu bado sio chaguo kabisa, hanifai!
   
 6. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Basi tuendelee kuwaza tu, naamini EL angekuwa PM lingeshatatuliwa hilo!
   
 7. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipenda ile "au" kwamba au na mimi niko kwenye mtandao wa mafisadi kwamba huna uhakika na hilo thats good of you! Kama nipo ama sipo so be it ioa cha msingi ni yale yanifaayo kusema nitasema na uwe na uvumuivu nayo, lakini pili Mwanahalisi ni kama wewe tu so kindly be informed that huwezi kunishawishi kwa namna yeyote eti kwamba wao ndo reliable source' hata yale ya Slaa na Josephine waliyaripo vivyo hivyo.

  La mwisho japo si kwa umuhimu nashukuru umeelekea kuafiki kuwa mtu msafi siku zote huwezi kumsafisha manake tayari ni msafi na mtu ambaye ni mchafu tayari huwezi tena
  kumchafua.........
   
 8. n

  ngonyani Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  unbeatable LOWASSA...
   
 9. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani ningekuwa na uwezo wa kusimamia maneno kama Ngonyani ufanyavyo manake almost comment zako ni hayo maneno mawili tu so I think I'll be also in a good truck if I'll say "unbeatable Ngonyani"
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Only idiot can say Lowassa is not a material president otherwise the one who is drived by the so called" chuki binafsi and wivu"!
   
 11. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Only Lowasa 2015
   
Loading...