CCM na uwezo mdogo wa kufikiri....

Nyani Mweusi

New Member
Jan 30, 2012
4
0
Katibu wa Jumuiya ya wazazi taifa Hamis Dady anasema kuwa dawa ya kuondokana na maandamano na migomo iliyopo nchini nikuanza kuwafundisha wanafunzi wasigome au wasifanye maandamano tangu wakiwa mashuleni..

Anasema kuwa maendeleo nchi hayataletwa kwa maandamano wala migomo,hivyo shule zinazomilikiwa na jumuiya ya CCM waalimu wahakikishe kuwa wanawafundisha maadili ya uoga wanafunzi hao ili wasije kugoma kama wanavyonya madaktari hivi sasa.

Mimi naona suala la msingi katika migomo na maandamano ni kuangalia kiini cha tatizo au kwa nini watu husika wakafanya hivyo ila cyo suala la kuanza kufundishana uonga,na kwa kizazi hiki atakuwa amepotea..
 
Duh?
Ushauri wa kijinga sijawahi kuona, badala ya kuwaambia kuwa warekebishe uozo wao, yeye anasema nini sijui...
Ooops? Kwani kuna shule inafundisha kugoma na kuandamana so far?
 
Back
Top Bottom