CHADEMA msijipe moyo, Chama chenu kitasambaratika kabla ya 2015

2015 mbona mbali sana?
avatar23356_4.gif

Hongera kwa kufanya Surgery ya Ngozi na kuwekewa Ngozi ya Kitimoto

 
CCM msikose kujipa moyo, ugonjwa wa UFISADI utajitibu tu wenyewe hata bila ya mtu yeyote kuvuliwa gamba. Hivyo tayari nyinyi ni washindi kwa mwenendo wote huu wa kutokemea UFISADI kokote kule.
 
Vijana wa NAPE wanakazi sana humu JF. Kila siku wanaiota CDM, wanamuota Godbless Lema, Slaa, Mbowe, etc. Lakini napenda niwakumbushe kwamba kazi waliyopewa ni ngumu sana ndiyo maana hata Salva Rweyemamu siku hizi ameichoka. Haandiki tena Makala, maana hoja zilizopo kwenye ulingo wa siasa zinaibeba CDM!
 
non sense

this is not enough to be a topic
Hata mimi nimejiuliza, kuna watu wanautumia uhuru wa JF vibaya, kwani aliona shida gani kutoa sababu kwamba ni kwanini haitofika 2015 ili tuanzie pa kujadili?

Kuna watu wana shindwa kutofautisha kijiwe hiki na vile vya mitaani?
 
Vijana wa NAPE wanakazi sana humu JF. Kila siku wanaiota CDM, wanamuota Godbless Lema, Slaa, Mbowe, etc. Lakini napenda niwakumbushe kazi waliyopewa ni ngumu sana ndiyo maana hata Salva Rweyemamu siku hizi ameichoka. Haandiki tena Makala, maana hoja zilizopo kwenye ulingo wa siasa zinaibeba CDM!
Mkuu CDM inatisha hata kule vijijini vijana wa CDM wameingia, hawa jamaa hawalali wanakaa macho, matumbo moto sijui watachomokea wapi????????? Watu sio wajinga wameisha jua siri zao zote na wizi wao wote kutoka humu si rahisi!!!!!!Majibu ya uchaguzi wa serikali za mitaa ni ni majibu tosha Sumbawanga!!!!!!! Mabossi wenu waanze kutafuta mahali pa kwenda lakini dunia sasa ni kijiji watakimbilia wapi????????? Hao mabossi wenu hana mahali pa kwenda wangoje kwenda hawana wangoje lupango kujibu mashitaka ya wizi na ufisadi tuu!!!!!!!!!!!!!

 
Isingekuwa ban,ningekwambia wewe ni f*la mkubwa unayefikiri kwa kutumia ma*ko!
Haiwezekan watu wazima unatuletea wehu usio na maelezo wala ushahd!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom