Rais Jakaya Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande baada ya kuhutubia Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini jijini Dar es salaam jana.(PICHA:IKULU)...
Nilikua sijui kama kuna wwbongo wako deep kiasi hichi aisee Nimetembelea site ya Law school, www.lst.ac.tz nikakuta website iko hacked na Tanzania Cyber Army, wanasema watahack website zote za...
Hatimaye serikali imeanza kale ka uchunguzi makini kuhusu
kale kasumu kaliko wekwa mkononi na kushikishwa mh mwaki
na kuanza kuto cement mwilini.
Tusubiri tupate more details from the source.
wana JF kuna tetesi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya serengeti na diwani wa kata ya mbalibali CCM ndugu JOHN NG"OINA ameiibia halmashauri hiyo zaidi ya billioni 5 fedha zinazotokana na...
Jamani nachoka kabisa nchi hii..
Kama kweli tuna majaji wa aina ya Werema katika mahakama zetu basi hili ni janga kubwa kabisa la kitaifa katika tasnia hii ya sheria na utoaji haki uko katika mashaka!
Madaktari waafiki kukutana nalo, Kamati yake yaanza kazi
Huduma za matibabu bado mbaya Muhimbili, KCMC
Bunge
Sakata la mgomo wa madaktari bado linaendelea kuinyima serikali usingizi, baada...
najua wengi wetu tunatamani kusikia tamko la serikali kuhusu mgomo wa madaktari.haieleweki kama serikali imewatimua madaktari waliogoma au la.haieleweki kama mgomo umekwisha au la.hatuelewi nini...
Nataka ieleweke kuwa siasa zinazochezwa na nape hakuna wa kudanganywa nazo,ati wewe Nape ndo chama kinachosimamia serikali afu unashindwa kushauri mkiwa chumbani mwenu,naona unawafanya watanzania...
Falsafa ya "Nguvu na mamlaka ya Umma" ndiyo misingi na chumbuko la ... kuundwa dola ya nchi, na kuwa Umma ndiyo wenye madaraka ya mwanzo na ya mwisho katika kuamua hatima ya nchi na taifa pasipo...
Naandika kwa masikitiko baada ya kukumbana na mkasa wa kushindwa kuhudumiwa katika hospitali yetu ya taifa (MNH) kwa sababu CT scan ambayo mgonjwa wangu alitakiwa kupimwa ili aendelee na matibabu...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012, inayotarajiwa kusomwa katika Mkutano ujao wa Bunge, itakuwa ngumu...
Mwanzoni mimi nilitafsiri kwamba Mheshimiwa sana Juma Mnkamia mbunge wa kondoa kusini alitoka VOA kuja kugombea ubunge kwa minajiri ya kusukuma fasta gurudumu la maendeleo la jimbo lake maana Mh...
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Mr. Sugu.
Ukumbi wa Bunge juzi uligeuka kuwa ulingo wa kutupiana vijembe kati ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk...
Watanzania wengi wameshafikia wakati wa kupelekwa kama watoto wadogo na "serikali". Nimeshangazwa na utaratibu wa wananchi kuchukuliwa mashamba, viwanja na kupewa wawekezaji. Ukiuliza ni nani...
Tatizo kubwa la Tanzania sio plans pekee bali ni mfumo. Hakuna maendeleo ya maana yatapatikana Tanzania kama Watanzania hawata weza jibu hili swali hapa chini. Cha kushangaza hata hapa wanajamii...
CCM WAZINDUA KAMPENI UZINI(JANA)
Dk.Karume ndiye aliyezindua kampeni hizi
Umati wa wana CCM kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Uzini jana
Kampeni sasa zimepamba moto katika jimbo...
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionya wanachama wake kuacha ndoto za urais wa mwaka 2015, kauli hiyo sasa imeonekana kupuuzwa na kugeuka kichocheo cha kuongeza kasi ya kujipanga kwa baadhi ya...