Mwenyekiti wa halmashauri serengeti aiba mabilioni

Nyamemba

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
845
446
wana JF kuna tetesi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya serengeti na diwani wa kata ya mbalibali CCM ndugu JOHN NG"OINA ameiibia halmashauri hiyo zaidi ya billioni 5 fedha zinazotokana na malipo toka hifadhini na fedha za miradi na hivi sasa kakimbilia INDIA alikojificha akidai anaugua kisukari,naomba wadau hasa wana serengeti wenye full information kuhusu issue hii wafunguke,msisahau JK ni mwekezaji huko ana hoteli inaitwa BILILA KEMPISKI wanaimiliki kwa ubia na mwarabu mmoja.
 
Hawa wa hivi wako wengi sana hapa tz...hii nchi inahitaji kufanyiwa matambiko na akina Kalumanzira na Matunge na Pr. Maji marefu
 
Mwenyekiti wa halmashauri ambaye kimsingi siyo mtendaji wa shughuli za kila siku za halmashauri anawezaje kuiba pesa kiasi hicho? Au alipewa tenda ya kupokea malipo hayo kwa niaba ya halmashauri?
 
Hii taarifa bado ina utata na sisi wataalam wa fedha tunapata shida kukuelewa vinginevyo ni another udaku in the city.How comes mwanasiasa kupata access na 5billions huku anayecheza na hela ni DED. Kama ni direct corruption basi hiyo kali "BILION 5".UNAOTA NINI.

Nashauri rudi ukajipange upya, we si mtoa taarifa ila data monger.
 
najua njaa ndo zinakusumbua,kwa taarifa yako kasimamishwa hata kuhudhulia vikao vya halmashauri kutokana na kashfa hii na hivi sasa yupo india eti akisumbuliwa na kisukari
 
Naye si mjasiriamali kama walivyo wengine? Maana Tanzania mtu mwizi wa mali ya umma haoni aibu kujiita mjasiriamali.
 
Back
Top Bottom