NAPE ivi inakuaje uzungumzie posho na madokta wakti chama chako ndo serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAPE ivi inakuaje uzungumzie posho na madokta wakti chama chako ndo serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, Feb 1, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nataka ieleweke kuwa siasa zinazochezwa na nape hakuna wa kudanganywa nazo,ati wewe Nape ndo chama kinachosimamia serikali afu unashindwa kushauri mkiwa chumbani mwenu,naona unawafanya watanzania hawaelewi chochote.ANGALIKUWA Mnyika ndo kaishauri serikali ningemuunga mkono coz wao ni sawa na watoto wa jirani.NAPE TUMECHOKA NA UVUVUZELA WAKO,mi naona kuwa idara ya uenezi ya ccm haina kazi so far.HAIWEZEKANI KESI YA mke wako umpelekee jirani wakti haijakushinda.WADAU TUJADILI
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Kichwa kinauma mkuu, nimejiuliza sana hayo
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nape ni katibu wa uenezi na itikadi wa Chama Cha Mapinduzi, si mtumishi wa serikali na kwa kuwa CCM ndicho chama tawala ni muhimu kuhakikisha serikali yake inatekeleza ilani ya uchaguzi kama ilivyotolewa wakati wakiomba ridha ya kutawala. Ukielewa haya hutahoji tena... kama hutaki basi!
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  maisha bora kwa kila mtanzania,lakini lazima uwe mbunge.hii ndio sera yetu mpya
   
 5. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ameshakuwa muenezi wa serikali tena.hana jipya.
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  chama anachoongoza kinasimamia serikali ktk masuala ya ilani,so hapo ni sawa na kusikitika wakati ukifurahia kusikitika,NAPE CHAMA CHENU HAKIWEZI KUTUHADAA TENA,elewa hapa maself ni mwanakijiji wa darasa la 4 je hao wa mjini? Eti posho pia unapinga.UNGEKUWA WA KUANZA KUITISHA KIKAO CHA WABUNGE WENU NA KUWAPA MSIMAMO WENU.mbona kwenye mkwamo wa bajeti mnawamudu,Acha mboyoyo Nepi
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nape kanishangaza sana but nampongeza inawezekana nimsimamo wake
   
 8. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nimekumbuka term ya siku za nyuma "kibaraka" haya si ya kwake ila walio nyuma yake.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Amezungumza kama katibu mwenezi kwa hiyo ametoa msimamo wa chama siyo wake.
   
 10. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  Chama kinadhamana ndio chenye kutawala serikali kweli, lakini nape hayupo katika huo uongozi wa kiserikali yeye si mmbunge aseme kupeleka hoja bungeni, yeye afanyi kazi ktk wizara ya serikali na wala yeye ausiku wala hana influence katika maamuzi ya serikali. Yupo kwenye chama lakini si upande wa serikali sijui umenielewa kwa maana hiyo kuwasii wale wahusika sii kosa. Vingenevyo na yeye angekuwa direct vocally kama wengine wanao chukizwa na uozo kama vijana wengine waliopo mjengoni wa vyama vyote apparently.
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mkuu kweli unakaa unaleta mada juu ya huyu Kilaza mchumia tumbo ? Hakika nawe unapoteza sifa ya kuwa thinker wa JF .Hapa ni time sasa kuacha kuongelea watu kama Makinda , Nape na genge la aina hii including Lowasa
   
 12. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hii kitu ilishapotelea wapi? "CHAMA HUTOA MALENGO, SERIKALI HUYATEKELEZA".
   
 13. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  Kuna Wa-Tz unajua hawana vyama na interest yao ya siasa ni passive, hivyo kelele zozote against status quo will raise their curiosities. Na iwapo lawama zinatoka within doesnt it justfy ya kwamba CCM imeshaoza, kunawakati inabidi ufikirie kama mtu mzima Siasa si chuki apart from mafisadi hao ni wa kuchukiwa na kuto samehewa milele.
   
 14. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  True lakini the decision makers are known in the eyes of politics au? maana hata babu yangu mkandawire ni mwana CCM but he his not a part of the decision making process hilo nijukumu la wana CCM waliopo serikalini au?
   
 15. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Angemsubili mwenyekiti wake ofisini amwambie au wajadiliae wafanye nini sio kutuambia upuuzi wao sisi wananchi , tunahisi kutapika
   
 16. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  Huko sasa ndio kumpangia mtu mbona wewe mbona malalamiko au vitu vinavyokukera aviishi nyumbani kwako tu. Anaweza tumia na yeye nafasi yake kama mtanzania kusema yale yanayo mkera si lazima ukubaliaene nae, hiyo ni haki yako na wewe.
   
 17. k

  kabuga Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanao mtetea Nepi nao ni manepi, kwani mambo yakiwa magumu kunakuwa na kamati ya wabunge wa vyama, na kila mara b4 bunge vyama huwa na mikutano, kosa si Nepi, bali JK maana anataka kumuuza pinda na kumchongea, kwani yeye kashapelekewa asign, ila Nepi ni mbu.........zi, na hatautakiwi kumjadiri humu,

  Nepi+JK+PINDA+KIROBOTO=MAAFA
   
 18. J

  J_Calm Senior Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pengine lipo kwenye sera ya chama na ilani ya uchuguzi ktk second page.
   
 19. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kama nape hana sauti ndani ya chama si ajiunge na upinzani tu , huku nje hakuna vikao kama vilivyokuwepo ccm
   
 20. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,816
  Likes Received: 1,353
  Trophy Points: 280
  a sensible offer he needs to consider but then the decision is solely his. me out CIAO
   
Loading...