Leo niende wapi

Leo niende wapi

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Wanajamii leo nataka nimtowe mchumba bado ninamawazo niende wapi hili angalau nae ajisikie ushauri tafadhali
 
yani news alert kwenye jukwaa la siasa!!

Duh!!
 
Mbona unaulizia huku kwenye jukwaa la siasa? Wewe ni mbunge?
 
Jamani batimbaya lakini si mmenielewa naomba mnielekeze
 
Kwanza hiithread peleka CHIt-Chat kisha nenda na mtu wako Sewa ama Blue rose pale Buguruni Sheli
 
Njoo Mtwara uangalie jinsi wachawi wanavyomaanika!! Cheki hapa chini

nx84lk.png
 
Hapa palikuwa pazito, jamaa wakazimia wakati wanatoa nondo...njoo mtwara man utainyoy kuwaona vigagula wa kitaa.

iqags7.png
 
Nenda ccm kirumba kuna ubwabwa tena wa bwereree
 
Tumsamehe maana kaifaham JF baada ya mama Lwakatare kuipigia promo bungeni jana!ndg.elezea uko wap?Tanzania kubwa hii!
 
Back
Top Bottom