Tanzanian Cyber Army Hacktivist

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
Nilikua sijui kama kuna wwbongo wako deep kiasi hichi aisee Nimetembelea site ya Law school, www.lst.ac.tz nikakuta website iko hacked na Tanzania Cyber Army, wanasema watahack website zote za serikali mpk maisha bora kwa kila mtanzania yapatikane

Kweli serikali ya magamba imechokwa na kila nyanja. Sasa kuna mahackers wa kibongo kazi ipo
 
Mahackers wapo tatizo magamba docs sensitive wanaweka kwenye makaratasi rarely do the store them digitally. Ingekuwa hivyo wangekoma, tuombe waendelee kuhamasisha matumizi ya IT maofisini, then we shall hit them where it hurts the most.
 
Tanzania lazima ibadilishe mfumo wake wa ulinzi kwani duniani kote wameanzisha cyber command unit.....Tumeona IRAN ilivyoweza kuhack operating system ya CIA nakufanikiwa kuiteka ndege yao ya upelelezi ya gharama kubwa....kwa mfano LIBYA ilikua hacked na kuzimwa mfumo wake wa RADA ambapo ilikua raisi kwa ndega za kivita za NATO kuingia ktk anga ya LIBYA bila kutunguliwa...so km TZ wameanzisha CYBER COMMAND UNIT lazima tuwapongeze then next time they should hack ata ma BANK ya US,UK ili kuprove how best they are.....congrats
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom