Sheria imepata pigo kuwa na matapeli

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Jamani nachoka kabisa nchi hii..
Kama kweli tuna majaji wa aina ya Werema katika mahakama zetu basi hili ni janga kubwa kabisa la kitaifa katika tasnia hii ya sheria na utoaji haki uko katika mashaka!
 
Muonekano wake ni wa Kitaperi taperi?
Ana tabia za kitaperi taper?i
Anaongea kitaperi taperi?
anafanyakazi na mataperi?
kapata akili ya shule kitaperi taperi?

Ndio maisha ya mataperi wanaishi kitaperi taperi ali mladi mkono uende kinywani!
kisha husema wanaishi kimjini mjini!
 
Back
Top Bottom