Nimebahatika kuusikia wimbo huo kutoka kituo kimoja cha radio ukiwa umeingizwa clips za majadiliano ya mabishano bungeni kati ya spika,mwenyekiti,mawaziri na wabunge katika hoja mbalimbali...aibu!
Mpaka sasa bado najiuliza jinsi swala zima la jf kuchukuliwa kama blog ya hovyo hovyo.
Hili swala linaniumiza kichwa kidogo kitendo cha wabunge kuugua JFRISM uku wabunge wenye tiba wapo.
Sasa...
Nimekua nikifuatilia baadhi ya mambo kuhusiana na bwana mkubwa (JK) na wasaidizi wake. Kwa kiwango fulani nawahurumia sana baadhi ya wasaidizi wake ambao kwangu mimi naona bado wana heshima japo...
Hamad Rashid jana aliongazana na magari yenye silaha, marungu na vingora katika Jimbo lake la Uchaguzi lkn pia ktk kisiwa chake alichozaliwa.
Mkutano wake ulikuwa kama BUSH yupo Tanzania jinsi...
:embarassed2: Ninadhani ni kila mtanzania amekuwa akisubiria Tume iliyoundwa na Bunge kuhusu sakata la wizara ya Nishati na Mlungula kwa Wabunge na Jairo mtuhumiwa number 1 na waziri wake, Kisha...
1. Kuwasilisha malalamiko yake kutokana na mgomo wa Madaktari.
2. Kueleza masikitiko yake na kuvilaumu vyombo vya habari juu ya swala la Posho za wabunge zinavyoandikwa.
Hapa ataelezea namna...
Nafatilia sana habari iwe tv, mablogs, magazeti, radio na hata kwenye mitandao ya kijamii huwa najiuliza mbona wapenzi wa chadema utakapozungumza maovu ya chama au viongozi wao huwa wakali na...
Hali ya mambo inavyoendelea hapa nchi hasa kwenye nyanja ya siasa imewalazimisha waandishi mahiri wa Gazeti linaloheshimika nchini mwetu "Raia Mwema", kuandika makala za uchambuzi wa kina ambazo...
wajameni, mie sio mtaalamu wa mavazi na si mfuatiliaji wake...
but, jana wakati ninaangalia picha za mheshimiwa raisi akiwa kibarazani na wajumbe toka asasi zisizo za kiserekali nikagundua kuwa...
CCM kutimiza miaka 35, viongozi wa kitaifa kushindwa kujenga hoja na kujibu hoja za msingi ni aibu kubwa kwa ustawi wa Taifa.
Mifano; Hon PM, Ktk mgogoro wa Govt na Madaktari unaoendelea...
Mwanangu wakike mdogo wa miaka 3 namwambia toka nje nivae. Kanijibu Mbona mama nae mwanamke umwambii toka nje.. Na kila siku ndio swali lake yapata wiki sasa nimjibu nini Wakuu? Busara plz!!
Rais Jakaya Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande baada ya kuhutubia Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini jijini Dar es salaam jana.(PICHA:IKULU)...
Nilikua sijui kama kuna wwbongo wako deep kiasi hichi aisee Nimetembelea site ya Law school, www.lst.ac.tz nikakuta website iko hacked na Tanzania Cyber Army, wanasema watahack website zote za...
Hatimaye serikali imeanza kale ka uchunguzi makini kuhusu
kale kasumu kaliko wekwa mkononi na kushikishwa mh mwaki
na kuanza kuto cement mwilini.
Tusubiri tupate more details from the source.
wana JF kuna tetesi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya serengeti na diwani wa kata ya mbalibali CCM ndugu JOHN NG"OINA ameiibia halmashauri hiyo zaidi ya billioni 5 fedha zinazotokana na...
Jamani nachoka kabisa nchi hii..
Kama kweli tuna majaji wa aina ya Werema katika mahakama zetu basi hili ni janga kubwa kabisa la kitaifa katika tasnia hii ya sheria na utoaji haki uko katika mashaka!
Madaktari waafiki kukutana nalo, Kamati yake yaanza kazi
Huduma za matibabu bado mbaya Muhimbili, KCMC
Bunge
Sakata la mgomo wa madaktari bado linaendelea kuinyima serikali usingizi, baada...