Suti za raisi kwenye kibaraza cha katiba

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
3,075
Reaction score
1,550
wajameni, mie sio mtaalamu wa mavazi na si mfuatiliaji wake...

but, jana wakati ninaangalia picha za mheshimiwa raisi akiwa kibarazani na wajumbe toka asasi zisizo za kiserekali nikagundua kuwa jk huvaa suti ile ile mara zote akikutana na wadau kujadili hii habari ya katiba.......

A mere coincidence?
 
tena umeniwahi mwenzangu,ni kwl,loooh
 
Mada yako itajadiliwaje bila kuonyesha suti unayo zungumzia?
 
jk slaa mbowe.jpgjk mbatia.jpgjk caf.jpg1099628_orig.jpg

this dressing however, haitufanyi tukabeza juhudi za mheshimiwa raisi kutetea katiba bora. actually, tunapaswa kumuunga mkono kwa hilo!
 
Kumbe hiyo suti ni hiyohiyo?! Mimi nilijua ni tofaut ila ni design moja!
 
Back
Top Bottom