Dr. Ulimboka live star tv: Afafanua Wizara ilivyosababisha Mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Ulimboka live star tv: Afafanua Wizara ilivyosababisha Mgomo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vancomycin, Feb 3, 2012.

 1. V

  Vancomycin Senior Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa kamati ya kuratibu mgomo wa madaktari yuko live star tv kuzungumzia mgomo wa madaktari na mgogoro uliopo
   
 2. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Wenye access na TV angalieni Star TV Mwenye kiti wa kamati ya muda ya kuratibu mgomo wa madaktari anaongea star tv.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wakuu sasa hivi dr Ulimboka anaongelea mgomo wa madaktari sababu zake na madhara yake, JAMANI FATILIENI MAZUNGUMZO HAYA.
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  updates pls
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Huyo Dr. ana cheo gani serikalini?
   
 6. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tumwagie yanayojiri,wengine hatunasi hiyo ch!
   
 7. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Wana aininsha, ni kwa jinsi gani daktari anafanya kazi ktk mazingira magumu. Mgonjwa anakufa huku dakatari akiwa anajua kwamba kama dawa fulani ingekuwepo mgonjwa huyu asingekufa. Imeelezwa pia kwamba athari za kiafya na vifo vinavyotokea kila siku maospitalini ambavyo havikutakiwa kutokea ni kubwa mno kuliko hata athari zinazotokea kutokana na mgomo wa Drs.
   
 8. M

  Mkumbavana Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anasema serikali ndio inapaswa kusimamia afya ya wananch wake kwa kuwapa madaktari vitendea kazi, na mishahara
   
 9. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Siku hizi umeme ni ghali, kwa hivyo tunawasha Tv. kuangalia vipindi muhimu tu zikiwemo taarifa za habari. Hao wachochezi na wauwaji tumeiachia Serikali iwashughulikie.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Namfatilia kwa makini sana Dr Ulimboka yupo na mwanaharakati m1 hv machachari sana ana uchungu na nchi yule mwanaharakti
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Mods unganisheni huu huzi
   
 12. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Jembe linaelezea jinsi mgogoro mzima ulivyoanza, kwamba mgogoro huu haukuanza kwa mgomo. Anaelezea jinsi viongozi walivyokuwa wanakataa kuonana na madaktari. Waziri aliombwa aje Donbosco kuonana na madaktari, akasema kama wanataka kuonana nae waende anatouglo. Anadhihirisha jinsi viongozi akiwemo waziri, walivyo engineer who mgomo. Kipi rahisi, madaktari woote waende anatouglo wakati wameshakusanyika DB kumfuata waziri au Waziri aende hapo DB?
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arifu huyu ni DR shujaa kiongozi wa madaktari wanaodai haki zao...
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  anasema wao walikua wanania ya kukutana na waziri mkuu na yeye mwenyewe alimpelekea waziri mkuu barua nyumbani kwake kumwomba wakutane jumatatu badala ya jumapili kwani ombi la waziri mkuu la kukutana nao jumapili lililetwa jioni na madaktari mengi hawakupata taarifa.
   
 15. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukimskiliza jinsi anavyochambua mgomo ulivyoanza hadi kufikia hapa, utaona kwamba serikali yetu ime-mishandle hii ishu!
   
 16. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Siku ukiungua moto baada ya nyumba yako kuwaka moto na faya kuja kuzima wakati haina maji, wakabaki wakikuangalia ukiungua moto mpaka wananchi walipokunasua, na kukupeleka hospitali, ukafika hospital na kukuta madaktari wapo, na vifaa vya kukuhudumia kiufasaha hayo majeraha yako ili upone haraka havipo, na ukawa unajiona mwili wako ukiendelea kuoza, Ndipo utakapojua muuaji ni nani, serikali au daktari?
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  serikali ya Tanzania si gari ambalo ukibadilisha gia linaongeza mwendo
   
 18. V

  Vancomycin Senior Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu mwanaharakati anaeleza vizuri sana,ni mchambuzi mzuri wa sheria
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Na pinda alikuwa anajua kuwa maDOC hawakupata taarifa so hawtakuja ila kuonyesha kuwa hashirikishi akili akatumia gharama za ving'ora na mafuta kwenda kwenye mkutano..
   
 20. W

  WildCard JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Dr Ulimboka alipita JKT?
   
Loading...