Hamad Rashid Kulindwa na FFU kwao Wawi Pemba; hii inamaana gani kisiasa?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Hamad Rashid jana aliongazana na magari yenye silaha, marungu na vingora katika Jimbo lake la Uchaguzi lkn pia ktk kisiwa chake alichozaliwa.
Mkutano wake ulikuwa kama BUSH yupo Tanzania jinsi ulivyokuwa na ulinzi.
miaka 15 ya ubunge hajawahi kupata ulinzi kama ule.Hamad Rashid ni mbunge ambae hata Mgambo haruhusiwi kutembea nae kama Mlinzi
JEE kisiasa hii inamaana gani kwake?
 
Mbona Maalim Seif analindwa mara mbili ya Hamad Rashid.Acha ushambenga mkuu
 
Hamad Rashid jana aliongazana na magari yenye silaha, marungu na vingora katika Jimbo lake la Uchaguzi lkn pia ktk kisiwa chake alichozaliwa.
Mkutano wake ulikuwa kama BUSH yupo Tanzania jinsi ulivyokuwa na ulinzi.
JEE kisiasa hii inamaana gani kwake?

Kazi ipo.

Alipanda Upepo sasa anavuna dholba.


 
Mbona Pinda analindwa na msafara wa magari 50,kwa yeye Hamadi kipi cha ajabu!
 
Majungu tu wewe nae kibaraka wa Seif kwani tatizo nini? si wale ndio wamemchagua sasa kwanini asilindwe ahutubie vzr wakati seif na Jussa wanamfanyia fitna
 
jamani mbona maada hii iko poa, kwanini isijadiliwe vizuri tu?, haiingii akilini kumlinganisha Hamad na Pinda au Seif, kwani hao ni viongozi serikalini, tuambizane hivi vingora ni vyanini?
 
Aliomba ulinzi akihofia vibaraka wa Maalim na Jusa wasimdhulu.
 
Hamad Rashid ana haki ya kulindwa hasa ukizingatia fitna za Maalim Seif na Ponjoro Jussu.
 
ukistaajabu ya musa utayaona ya firaun:hoja ya maalim na penjapi wake walisema hawezi kwenda wawi;kwasasa jibu lake mnalo wenyewe&
 
hamad rashid jana aliongazana na magari yenye silaha, marungu na vingora katika jimbo lake la uchaguzi lkn pia ktk kisiwa chake alichozaliwa.
Mkutano wake ulikuwa kama bush yupo tanzania jinsi ulivyokuwa na ulinzi.
Miaka 15 ya ubunge hajawahi kupata ulinzi kama ule.hamad rashid ni mbunge ambae hata mgambo haruhusiwi kutembea nae kama mlinzi
jee kisiasa hii inamaana gani kwake?

mbona huyu jamaa mmemfukuza lakini kama bado anawanyima usingizi,hii imekaaje wadau wa huko?si mngeachana nae tu aendelee na mambo yake na nyie muendelee na hamsini zenu,hii kumuongelea ndio mnampa umaarufu
 
Hamad Rashid jana aliongazana na magari yenye silaha, marungu na vingora katika Jimbo lake la Uchaguzi lkn pia ktk kisiwa chake alichozaliwa.
Mkutano wake ulikuwa kama BUSH yupo Tanzania jinsi ulivyokuwa na ulinzi.
miaka 15 ya ubunge hajawahi kupata ulinzi kama ule.Hamad Rashid ni mbunge ambae hata Mgambo haruhusiwi kutembea nae kama Mlinzi
JEE kisiasa hii inamaana gani kwake?

"hii ni ishara kwamba kati ya JK na Dr. Shein atampisha ktk pozisheni mojawapo kati ya hizo mbili na wala sio nafasi ya maalim SEIF kwani Ni ndogo sana kwa uwezo alionao HR Moh'd na 2015 haiko mbali hivyo mashushushu wanapraktiz namna watakavyofanya kazi na Mkuu wao MPYA wa INJI.
sasa Swali linakuja, Je, kwa waliokuwa wanasema hawezi kwenda JIMBONI Kwake WAWI mnalipi la kutuelezea? Propaganda NO tafadhali"
 
kuweni wapevu kisiasa maalim seif na pinda ni viongozi wakuu wa serikali wana haki ya kulindwa na kupigiwa vingora kama ilivyo taratibu zetu za nchi,mbunge hana prevelage hio hii inaonesha wazi kwamba huyu ni kibaraka wa ccm na huo mkutano uliandaliwa kwa hela za ccm kama ambavyo walikuwa wanafanya kampeni pemba walijua hawana wafuaci walichokuwa wanafanya walikuwa wanakuja na meli mbili toka unguja na magari yote ya serikali pemba yalilazimisha kuja mkutanoni ili waonekane na wachukuliwe na vyombo vya habari,ukweli ni kwaba hao waliompokea hamad asilimia 95 si wakazi wa wawi wala wanachama wa cuf bali wa ccm toka sehem mbali mbali ili kutoa image ya utakatifu wa hamad ila ukweli ni kwamba hamad rashid amejinyea na maji ya mgao kusafishika ni ngumu .atafute kazi si kuwadanganya wapemba hawa hawadanganyiki na vijisenti licha ya umaskini wao hilo hata hamad rashid analijua.

ushauri achana na siasa tafuta nyavu ukavue chaza pemba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom