CCM miaka 35.... Na tatizo la hoja...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM miaka 35.... Na tatizo la hoja...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by franksarry, Feb 4, 2012.

 1. franksarry

  franksarry JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 1,107
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  CCM kutimiza miaka 35, viongozi wa kitaifa kushindwa kujenga hoja na kujibu hoja za msingi ni aibu kubwa kwa ustawi wa Taifa.
  Mifano; Hon PM, Ktk mgogoro wa Govt na Madaktari unaoendelea, kushindwa kwake kuzijibu hoja za msingi toka kwa Madaktari.., matokeo yake kutoa kauli za vitisho, ubabe na jeuri ya Madaraka!
  Hon Speaker, kushindwa kujenga hoja ktk sakata la ongezeko la Posho kwa Hon MPs.., matokeo yake ulevi wa Madaraka..!

  Ni aibu kubwa kwa Taifa, kuwa na Viongozi wa aina hii..

  Viongozi fanyeni homeworks zenu vizuri, Kiongozi bora huwa ana tabia ya kupenda kusoma na kufanya homework yake vizuri kabla ya kutoa matamshi, kufanya maamuzi etc.
  kushindwa ktk hayo, ni sawa na kushindwa Uongozi..!
   
Loading...