Kilichopo Zanzibar hivi sasa ni UZANZIBARI kwanza au niseme Zanzibar kwanza halafu Tanzania au Muungano.
Ikiwa kuna tishio huko Mombasa kuwa hawatapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao wa Kenya kwa...
:A S 465:Leo muda wa kuanzia saa nne usiku kuna mdahalo unaendelea Channel Ten,
kwa \title "SAKATA LA MADAKTARI, hoja iliyojengwa na ASKOFU
Gamanywa kuwa "wanajaribiwa na SHETANI" je madai haya...
Napenda niwashirikishe tafakari yangu:
Wakati EAC inavunjika miaka ya 70 watanzania tulikuwa tunawasema wakenya kuwa ni wabinafsi na kweli walikuwa wamefikia hata kuitana waheshimiwa na...
Napenda niwashirikishe tafakari yangu:
Wakati EAC inavunjika miaka ya 70 watanzania tulikuwa tunawasema wakenya kuwa ni wabinafsi na kweli walikuwa wamefikia hata kuitana waheshimiwa na...
Hapa mbezi umepita msafara wa huyu mkubwa naona sijui anatoka kufanya uzinzuzi wapi.msafara umeshiba kama v 8 sita hivi na magari ya polisi na traffic kama sita hivi.yaani sijaona haja ya makamu...
Habari Mwana JF,
Kulikuwa na wakati ambao viongozi walikuwa na dhana ya Tanzania Kwanza, baadhi yao ni hawa hapa. Unawakumbuka wegine waliokuwa na dhana hiyo. Hebu tukumbushe, mimi nimepata hawa...
Wakuu sina hakika kama ilishawekwa humu hii kitu ila naomba niiweke km jinsi nilivyoipokea.
*Hadi kufikia leo, tarehe 01 February 2012, Rais wa sasa wa Tanzania, amesafiri mara 322 nje ya nchi...
WanaJF,
Niliwaahidi kuendelea kuwapa updates kuhusiana na tishio la wabunge wa CCM kukataa kuridhia marekebisho ya sheria ya Katiba mpya.Katika mazungumzo yangu na wabunge kadhaa wa CCM...
JKN Reception Remarks
Mr. President, on behalf of myself and the Minister for external Affairs, and other colleagues of mine, I want to thank you very much and your government and the people of...
Kufuatia kikao cha Dr. Slaa (CHADEMA) na Ruhuza (NCCR), vyama hivyo vimeamua kushirikiana na kwamba kesi ya uchaguzi aliyofungua Mbatia dhidi ya Mdee itafutwa.
TBC 1 saa 10.00 jioni
Mh Rais, wakati ni ukuta! Kwa mtazamo na mawazo yangu binafsi nakuomba hii nchi itazame kwajicho la tatu!
Hii nchi na raia wake wanakutazama wewe kila kukicha wasubiria utabadilisha hali za...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu;Mhe Stephen Masatu Wasira hivi sasa yuko Meru kuhudhuria maadhimisho ya miaka 35 ya Chama Cha Mapinduzi, yanayaofanyika kimkoa mjini Meru, hapa...
Madakatri Bingwa katika hospitali ya taifa Muhimbili wamefanya kikao cha dharura kujadilli hutuba ya Bwana Mponda na kukubaliana kuanza mgomo kupinga taarifa iliyotolewa na serikali Bungeni...
Wakuu,nipo Eneo la Shoprite hapa Arusha,naona msafara wa viongozi mbalimbali wa ccm,akiwepo RC wa Arusha,wanapita sokoni kilombero,ndipo soko lote likalipuka na kuanza kuwashambulia,kwa...
katika kusherekea miaka 35 ya C.C.M wana ccm wameamua kuhiji sehemu ambapo historia inaonesha eneo la Mwanza limewahi kuwa chini ya CCM kabla ya kukombolewa na CHADEMA. Wakipita kwa Mwenyekiti...
Kwa kile kinachoaminika ni kutoelewana kati ya Wabunge wa CCM na uongozi wa juu wa Nchi, wabunge hao wameamua kufanya mb inu zote Muswada uletwe Ijumaa badala ya Kesho wala Keshokutwa kwa...
JK akiri hali ni mbaya serikalini
Send to a friend
Saturday, 04 February 2012 09:06
0digg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakati wa maadhimishO ya...
Kwa hali inavyoenda chadema itashinda uchaguzi zanzibar
kazi inaendelea ya uhamasishaji ni nzuri sana,watu wa uzini
wamehamasika sana !! watu wa uzini wanasubiri siku ya kura
kufanya...