Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa Dr Slaa,pandehizo mbili kwa maana ya NCCR na CDM,walikutana leo na kuafikiana kuamua kuifuta kesi hiyo kwa kua haina manufaa yoyote kwa wan Kawe na wananchi kwa ujumla,Kwa kua katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya maswali na majibu leo hakuna hoja yeyote ya serikali itakayojadiliwa naona wabunge wamegoma na serikali inaogopa kuleta miswaada.bunge litahairishwa saa nne asubuhi posho kibindoni
0 Reactions
81 Replies
9K Views
MY INFERENCE TELLS ME MWANDISHI WA TANZANIA DAIMA MAHIRI NA MSOMI WA FALSAFA AMEMFAGILIA LOWASSA KWA MARA YA KWANZA KWENYE MBIO ZA URAIS 2015....SOMA HII LINK Hatutaki gunia hili la Kinana
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana jamvi,baada ya kuweka tamko lililotolewa siku ya tarehe 27/01/2012 juu ya ujio wa CCK na wachangiaji wengi kuomba kupata nakala ya katiba ya Chama Cha Kijamii (CCK),kwa heshima na taadhima...
8 Reactions
52 Replies
8K Views
Wadau nimeshindwa kuamua. Kati ya hawa wamama wawili ni nani mwenye mvuto kwenye jamii? Namaanisha ni nane ambaye anaweza akasimama mbele yako akakushawishi kuwa yeye ana mchango katika maendeleo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kuna swala moja nyeti la muundo wa uchumi na nani haswa wamiliki wakuu wa huo uchumi. Tukirudi shule kidogo kwenye elimu ya msingi ya sayansi ya siasa tunaambiwa dola na serikali vinazaliwa ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sauli Giliard Tanzania Daima SINA nia ya kukuchekesha msomaji wangu lakini nimekaa nikawaza kisha nikadhani kuwa yawezekana Rais wetu Jakaya Kikwete, hana taarifa kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
“CHECK AGAINST DELIVERY” HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIZA MIAKA 35 YA CCM, KWENYE UWANJA WA CCM KIRUMBA,TAREHE 05 FEBRUARI, 2012...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu, Dodoma MOTO umewaka ndani ya kikao cha wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wawakilishi hao walifikia hatua ya kutoa maneno makali dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho...
2 Reactions
233 Replies
19K Views
Hapa Mwanza leo magari ya serikali yamejaa kila sekunde unapishana na maV8 STK inaelekea sherehe za chama zimegeuka kuwa ya serikali gharama inaonekana kubwa sana kwani madc,wakurugenzi,maRC wote...
2 Reactions
150 Replies
11K Views
Rais wetu hana uchungu na nchi wala hela zetu za kodi. Kila siku ni safari za nje ambao zimefika pabaya, anadhihakiw, anatukanwa na kudhalilishwa hadi na raia wa nchi anazopenda kwenda kuomba...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Nafikiri sheria ya kuunda katiba mpya ni jambo la msingi! Nimepigwa na butwa kujua kumbe wabunge wa CCM kuharakisha kupitisha muswada wa kuunda katiba mpya walifanya hivyo ili tu kuwakomoa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wabunge wa CCM ni watu wa ajabu sana. Wameshasahau kwamba suala la Rais kuonana na CHADEMA lilijadiliwa na NEC ya CCM. CCM ndiyo waliomshauri Kikwete asiishie kuonana na CHADEMA bali aonane na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mara kwa Mara kumekuwepo na malalamiko kutoka katika taasisi mbali mbali kuwasihi Madaktari na Serikali wakae mezani wazungumze kwani wanaoathirika ni wananchi wasiokuwa na hatia ?????? Je ni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Yafuatayo ni maoni ya Mh Mbunge Dr.HAMISI KIGWANGALLA kama ilivyokutwa kwenye fb status yake tarehe 3 june 2011. "Ni rushwa au upofu?kamati ya kupitisha bajeti bila kujadili kwa kina ndiyo kazi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mawazo yangu, kuna mambo ambayo Rais anapokua nje ya nchi akiulizwa ni lazima awe na majibu ya upesi na yaliyo sahihi. Kuna thread humu inazunguka kuongelea jinsi Rais alivyojiumauma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huku mgomo wa madaktari ukiwa umechukua sura mpya leo.. baadhi ya madaktari watumia mgomo huo kuomba rushwa kwa wagonjwa ili wawapatie dawa.. CHANZO_clouds fm.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
...katika maadhimisho ya miaka 35 ya ccm huko mwanza Nape amesema wanachama 1847 wamejiunga na ccm baada ya kukimbia kwa baba yao wa kambo...Nape hajasema baba yao huyo wa kambo ni nani ila...
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Nimeisoma hii habari leo kwenye gazeti la Nipashe, :: IPPMEDIA kilichonishangaza ni ulinzi ulioko katika bandari zetu kama kweli kuna usalama. Kama meli iliingia ikapakua mafuta baadae sana ndio...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Heri ya mwaka mpya bandugu Umbea kutoka DAvos Wa zungu wanaofuatilia mkutano unaondelea huko Davos,wanasema misaada sasa basi maana utajiri tumeukalia. Our economics editor Larry Elliott has...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…