Nccr yafuta kesi dhi ya Halima Mdee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nccr yafuta kesi dhi ya Halima Mdee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 1800, Feb 6, 2012.

 1. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa mujibu wa Dr Slaa,pandehizo mbili kwa maana ya NCCR na CDM,walikutana leo na kuafikiana kuamua kuifuta kesi hiyo kwa kua haina manufaa yoyote kwa wan Kawe na wananchi kwa ujumla,Kwa kua katika uchaguzi huo walioshinda ni wananchi wa kawe- source ITV
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda sana hii.

  Hata hivyo NCCR bado wanabaki kuwa wasanii kwenye siassa za Tz....Ni kama watoto wadogo wanaocheza kidali po...

  Ningewaona watu wa maana kama wangeamua kufuta hicho chama na kutafuta shughuli nyingine au nyumba nyingine za kupanga!!

  DC!!
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  fantastic... they come out with the brains...

  Good NCCR
   
Loading...