Ansbert Ngurumo endorses lowassa for presidency 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ansbert Ngurumo endorses lowassa for presidency 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sikiolakufa, Feb 5, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  MY INFERENCE TELLS ME MWANDISHI WA TANZANIA DAIMA MAHIRI NA MSOMI WA FALSAFA AMEMFAGILIA LOWASSA KWA MARA YA KWANZA KWENYE MBIO ZA URAIS 2015....SOMA HII LINK

  Hatutaki gunia hili la Kinana
   
 2. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Wewe nawe sijui ni wa wapi, unataka kusema hizo sifa au vigezo Ngurumo alivyovitaja anavyo Lowassa peke yake na hakuna Mtanzania mwingine? Mbona tunateswa na ufinyu wa mawazo namna hii jamani?
  Your inference is misleading you.
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Watanzania wengi sana wana hizo sifa wajitokeze nasi tutawachagua kupata bora zaidi yao ila wasipore uhuru an demokrasia yetu ya kuchagua tumtakae..maana uchaguzi wa 2010 una mizengwe hata leo hawataki kuelezea kisa 'chama kimoja hakiwezi kushika dola hata mtutu utatumika'
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwanini unaamua kujidhalilisha kwa kuwa muongo?
   
 5. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  nyerere alituuzia mbuzi kwenye gunia, mkapa the mr clean!
   
 6. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  duh hivi weye hukupewa nepi no i mean net?naona ka una malaria
   
 7. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna kitu hapo. No correlation at all
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mnamkuza Lowassa bure.
   
 9. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mkapa is the best president this country has ever had despite his few mistakes
   
 10. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Sasa na wewe sijui umeibuka kutoka wapi? wapi katajwa Lowasa kwenye makala hiyo.Hivi mnalipwa on daily basis,weekly or monthly? nijibu alafu ntakuambia what is next
   
 11. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nadhani ni mara yako ya kwanza kumsoma Ngurumo na laiti ungekuwa ni msomaji wa makala zake wa siku nyingi wala usingediliki kusema hayo uliyoyasema kuhusu Lowassa kwani Ansbert ni mpingaji nambali moja wa mafisadi wa sampuli ya Lowassa!!
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  uvivu wa kufikiri unamsumbua ikiwa hajatumwa.
   
 13. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kama Lowassa ni fisadi naomba ushahidi kuwa aiba wapi na sh ngapi
   
 14. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  He was the best under the circumstances,but we could have a better one.
   
 15. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Ansbert hapo mkuu unapoteaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa au unalipwaaaaaaaaaaaaaaaa ??????????????katika watu waliopata pesa haraka tofauti na Azimio la Arusha angalia Google The 10 Richest men in TZ
  Answer:

  1. Said Bhakhresa
  2. Mohamed Dewji
  3. Yusuph Manji
  4. Reginand Mengi
  5. Mh. Mkono
  6. Mwanamboka
  7. J. Patel
  8. Mh. Chenge
  9. Mh. Lowasa
  10. Mh. M. Shabiy
  11. Mh. M. Abood
   
Loading...