Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa ujumla kampeni za CHADEMA zinakwenda vyema. Kampeni zetu si za siri. CCM ambao ndiyo hasa tunapambana nao hapa Uzini wanahangaika kweli. Wameshikwa pabaya. CUF wanajaribu kufurukuta, kwa nia...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimepitia website ya january makamba sijaona orodha ya mambo aliyoyafanya Bumbuli katika kutekeleza ahadi alizozitoa website ya Bumbuli hii hapa Bumbuli Development Corporation... Coming Soon...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Na Saed Kubenea - Imechapwa 25 January 2012 Mkullo akana kusaini mkataba SERIKALI imekana kuidhinisha mpango wa shirika la fedha duniani (IMF) unaotaka kuweka masharti ya ukopaji na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona baada ya mgomo wa madaktari uliosababisha baadhi ya watanzania kupoteza maisha yao pasi na hatia yoyote na wengine kuzidiwa na maumivu na wengine kulazimika kuingia gharama...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Mabadiliko sheria ya Katiba Mwandishi Wetu - Raia Mwema Dodoma Freeman Mbowe na Rais Kikwete wakijadili Katiba mpya Mabavu ya Rais yalindwa upya kwa mlango wa nyuma CHADEMA, NCCR, CUF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mr. Mbowe amesema akiwa Marekani kuwa Mwanaidi Majaar ambaye ni balozi wa Tanzania ni mmoja wa waanzilishi na wadhamini wa Chadema. Amemtaja pia Daudi Balali kuwa alikuwa...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Wana jamvi Hapa Dodoma kimenuka. JK kafika kutoka MWZ ili kuonana na wabunge. Wabunge wa CCM wakaitwa na kuingizwa ukumbini ili kumsubiri. Awali Katibu wao Jenester Mhagama alitoa tangazo kupitia...
12 Reactions
366 Replies
31K Views
He just resigned shortly How hard is it for Blandina to be humble and resign?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
CIA ya ni USA ambao ni viranja wakuu au "kaka" wakuu au "dada" wakuu wa dunia wana detailed database ya infromation ya nchi zote za dunia na watu wake na vingozi wake na siasa zake etc, etc...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nafuatilia bunge,baada ya Kamanda Lissu kumaliza hotuba ya kambi rasmi juu ya marekebisho ya rasimu ya katiba bi mkubwa akasimama akasema 'huo ndo ukweli wenyewe na hao ndo wakweli tuwaunge mkono'...
13 Reactions
67 Replies
8K Views
Wadau, Naangalia vita ya kisheria na kanuni za bunge kuhusu mabadiliko ya schedule ya muswada wa kurekebisha sheria ya mabadiliko ya katiba. Tundu Lisu,AG,Spika na zito wanachuana vikali. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
aliye karibu na tv aweke itv wanaonyesha marudio ya kikao cha madoctor na pinda kilicho fanyika leo. ova
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani nani hasa anafaa kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki? Nasikia Kuna Elishia Kaaya na Elirehema Kaaya. Wanajimbo wa kule mara nyingi wanachagua bila vigezo,jee Elirehema atamshinda Elishilia
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Unazani jambo gani wabunge wamefanya leo litakua na maana kwa watanzania,leo,kesho,na keshokutwa Karibuni wanajamii
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilitegemea kwa kiasi kikubwa Wazee wetu hawa wawe wameingilia kwa namna ya kipekee kabisa katika kusaidia kutatua mgogoro huu mkubwa wa Madaktari na Serikali ambao sidhani kama umeshawahi kutokea...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele, Taarifa za uhakika kutoka Uzini zinaarifu kuwa CHADEMA imeliteka jimbo hilo,makundi ya watu kuanzia watoto,vijana,akina mama na wazee wanaunga mkono cdm,alama za V na neno...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakati wa uongozi wa rais mkapa aliweza kutumia madaraka aliyopewa pamoja na kuvitumia vyombo vya dola kwa kuviamrisha vifanye kazi za ziada ,kinachonishangaza rais wetu kikwete unashindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mh.zitto kwabwe anastahiri kupewa pongezi kwa kazi anyo ifanya bungeni.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Naangalia nyuso za Wabunge wanavyojidai kusifu changes za muswada huu wa kuunda tume ya katiba. Kwa nini hawaoni aibu kwa kupitisha makosa ya wazi wakati ule, tena waliyoonyeshwa wazi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwandishi wa maneno haya ni mkatoliki anayejua uzito wa kauli ya baba askofu.Anapenda kuamini kuwa askofu ametoa msimamo wake binafsi na siyo tamko la kanisa wala maoni hayo siyo mafundisho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…