Aliyoyafanya January Makamba Bumbuli

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nimepitia website ya january makamba sijaona orodha ya mambo aliyoyafanya Bumbuli katika kutekeleza ahadi alizozitoa

website ya Bumbuli hii hapa

Bumbuli Development Corporation... Coming Soon!

ukiingia unaambiwa utatumiwa e-mail ya maendeleo lakini so far ni mwaka mzima hakuna kitu chochote

Sasa kwa mbunge ambaye anapatikana kwenye mitandao hatupatii ripoti ya maendeleo kama alivyofanya Marehem Regia Mtema au Mbunge wa Singida ndugu Mo Dewji

January tunaomba uje utuambie umeshafanya nini Bumbuli toka uchaguliwe?
 
...we need to socialise mwi facebook...dj cleo

mkuu hayo huwa yanaendana na hulka ya mtu..
 
alishirikiana na mafisadi kumpindua kiharam shelukindo sasa mafisadi hawamsaidii kutimiza ahadi..watamsaidiaje wakati wamevuliwa magamba na wengine mguu nje mguu ndani
 
Hiyo ya kujitokeza humu na kusema alichokifanya aliiweza Regia peke yake manake hata Makamanda wengine wa CDM ambao huwa wanjitokeza humu katika hilo la utekelezaji wa ahadi wamenyamaa kimyaaaa! Kutekeleza ahadi kumbe kazi!
 
Tatizo letu Watz hata uchaguzi ujao wakija tena na ahadi walizotoa uchaguzi uliopita tutawachagua tena...ilimradi tu watupe pilau na soda!!
 
Nimepitia website ya january makamba sijaona orodha ya mambo aliyoyafanya Bumbuli katika kutekeleza ahadi alizozitoa

website ya Bumbuli hii hapa

Bumbuli Development Corporation... Coming Soon!

ukiingia unaambiwa utatumiwa e-mail ya maendeleo lakini so far ni mwaka mzima hakuna kitu chochote

Sasa kwa mbunge ambaye anapatikana kwenye mitandao hatupatii ripoti ya maendeleo kama alivyofanya Marehem Regia Mtema au Mbunge wa Singida ndugu Mo Dewji

January tunaomba uje utuambie umeshafanya nini Bumbuli toka uchaguliwe?

wewe ni mkazi wa Bumbuli ni mpiga kura wake?
 
hapo cha muhimu ni wewe kujiandaa kuchukua jimbo

wapiga kura wa sasa bwana hawana mda wa kulemba,hujafanya kitu fasta wanakupiga chini

so kama umeliona hilo huko bumbuli ni wewe kuweka mikakati ya kuchukua jimbo tu
 
Ndo huku kumuenzi Regia Mtema(rip) nini!
Tutaandika sana tuliyoyafanya this time!
Sifa zote kwa Regia!
 
1..Amesaidia kuimarika kwa migogoro ya wakulima wa chai(smallholders) vs wenye viwanda vya kusindika(processors) na vyama vya wakulima wa chai vs processors..Kwa hilo nampa pongezi yaani amekata mguu kabisa kutokana na kushindwa kutimiza ahadi zake za utatuzi:
-Ikiwamo kuwasaidia wakulima wadogo kumiliki hisa zaidi ya 50% ya Mponde Tea Factory ili waweze kuwa na sauti katika upangaji wa bei ya Green Leaf.
-Kuwawezesha wamiliki mini-processing, facilities,packing & blending factories ili waweze kupata faida zaidi kukamilisha the whole value chain.

2..Ukija kwenye upande wa barabara unaweza kulia machozi kwani terrain ya kule ni milima kwenda mbele sasa usiombe mvua ikukute kule juu Bumbuli wakati wewe una mpango wa kurudi kulala Soni au Lushoto mjini.Lazima uombe hifadhi kwani barabara hazipitiki unless you have a death wish..

3..Amesaidia kuwepo na bendera,khanga,kofia na scarf nyingi za CCM.Yaani evergreen ya Chama imetapakaa kule juu na chombezo la njano kwa mbali.Bendera zapepea kwenye mashina na nyumba za wabunge wengi wakiwa wamejenga vile vigorofa vya jadi.People are in smiles waiting to line up for the next election.
 
Uzuri wa JF ni kuwa wafuatao wameguswa na hoja zinazotolewa humu na huwa wanakuja kujibu:

ZITTO KABWE
FREEMAN MBOWE
BERNARD MEMBE
OMARI NUNDU
MAREHEM REGIA MTEMA
JERRY SILAA

Sasa sioni kwa nini January asipewe taarifa za kuja kuweka records straight humu
 
22.JPG
 
Back
Top Bottom