Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgogoro ndani ya chama na kushuka kwa cuf katika chaguzi mbili bara na visiwaani na kupanda kwa chadema katika chaguzi zote, inaweza ikawa ni mwelekeo mbaya kwa cuf na kufifisha matumaini yao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Do you think you have what it takes to become successful in politics? There are those that ponder what they would do if they were given the opportunity, but very few people actually succeed at...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kitendo cha Naibu katibu mkuu wa CuF kulalamikia matokeo ya kidato cha nne eti wanzanzibari wanabaguliwa kwa kuwa katika shule kumi bora ya Zanzibar ni moja tu (Lumumba sekondari) na eti shule...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
TAARIFA KWA UMMA RATIBA YA CHADEMA YA UCHUKUAJI FOMU NA UTEUZI WA MGOMBEA WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI Baada ya kupokea taarifa za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), juu ya...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
MWENYEWE ALITOA SH2 MILIONI, SHEKIFU, OLE SENDEKA NAO WALICHANGIA Peter Saramba, Arusha MMOJA wa wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Vyama vya CCM na CHADEMA vimetambiana kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru mashariki. Kwa upande wa CCM, Katibu wa itikadi na uenezi NAPE NAUYE amesema kuwa watani zao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunafahamu kwamba mzee Kingunge ni miongoni mwa makada na wanasiasa wakongwe wa CCM. Kwa mujibu wa mzee Kingunge kikao kilichokaa kupitisha mabadiliko ya katiba hakikuwa na mamlaka ya kikatiba ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Paschally Mayega RAIS wangu maneno nitakayoyaandika hapa, si maneno yangu. Ni moja kati ya nukuu nyingi zilizoandikwa katika mabango tofautitofauti yaliyokuwa yamebebwa na wanaharakati...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
KINGUNGE ADAIWA KUPINGA, ASEMA HAYALENGI KUBORESHA MFUMO WA CHAMA Midraji Ibrahim, Dodoma SIKU moja baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitisha mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1977 juu ya namna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Toa maoni juu ya statement hii kwa kurejea maaumuzi na maagizo mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda. e.g kilimo kwanza, kupiga marufuku ununuzi wa mashangingi (Magari ya kifahari), ununuzi wa thamani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MBUNGE CHIKU ABWAO ANUSURIKA KUFA AJALI YA GARI Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha Demokrasia na maendeo (Chadema) Chiku Abwao amenurika kifo baada ya gari lake lenye...
0 Reactions
93 Replies
10K Views
Taarifa ya habari tbc imeonesha jinsi vijana yaani wanachuo cha walimu songea waliokwenda kumwangukia mkuu wa mkoa wa ruvuma mwambungu.hii ni baada ya kugomea kufanya mtihan wa somo ambalo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu wangu naombeni kwa moyo mmoja kabisa mnisaidie kwenye hili,siku hizi hatupati zile tv za ITV na Star tv, na nyinginezo, tuinapata TBC na radio zao peke yake. Kasa tumeonyeshwa huyu mkuu...
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Kuhusu Kauli za Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kufuatia Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma kutangaza katika vyombo mbalimbali vya habari tarehe 15 Februari 2012 kwamba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ilikuwaondoa wote wanao shindwa kufanya kazi wanawaza uRais!! Tuchague wabunge tu alafu chama chenye wabunge wengi wachague wazir mkuu(ndie awe mtendaji mkuu)atokane na ubunge Wakatabahu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wana jamvi, Nadhani hii ilipaswa kwenda kwenye jamiiphoto lakini kufuatana na maudhui yake, nimeileta hapa kwenye siasa kwa maana ina-reflect hali halisi zilivyogeuka ukilinganisha na hapo...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Nikuanzia tarehe 03-05 Machi,2015 ni Geita Mjini,kata ya Nkome na Buselesele:Mnyika,Mdee,Zito,Lema,Silinde,Wenje,Higness nk.Kifupi ni wabunge wote vijana kupitia CHADEMA(wakuchaguliwa na wa viti...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Benki Kuu ya Tanzania imezitaka benki zote nchini kuhakiki taarifa za wateja wao, sote tunajua jinsi ilivyo rahisi kwa mtu kuchonga muhuri feki mtaani na jinsi watendaji wa kata na mitaa wasivyo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimefika mahali pa kusema kweli watanzania hatuna uchungu na taifa hili. Hali inasikitisha kwenye nyanja zote za maisha. Elimu Afya, Miundombinu, Mipango miji, Maji Viwanda. nk... Elimu: Hakuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sasa wanaccm wameamua kuwa wanyang'anyi wa mchana
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…