Kigugumizi cha wapiga kura na wala posho (MPs) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigugumizi cha wapiga kura na wala posho (MPs)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makambuya, Feb 21, 2012.

 1. M

  Makambuya Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara kwa mara 2mekuwa 2kisikia malumbano kuhusu posho, na wananchi 2mekuwa wasikilizaji wakubwa nakubaki kuwalalamikia hawa wala posho. mi ninachotaka kufahamu ndugu wana jf kigugumizi kipo wapi 2nashindwa kuwadhibiti hawa wala posho kama sisi ndo 2naowachagua?
   
 2. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa tufanyeje na wao ndo wameshika mpini?
   
Loading...