Arumeru hatutakubali ubunge wa kurithiana

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Tumekuwa 'bila mbunge' muda mrefu sisi wakazi wa meru_Tukumbushane:TALALA MBISE =kazi yake kubwa ni jusinzia bungeni miaka ya 90. JERY SUMARY:alipewa na Lowassa kiukwe na kupewa unaibu wizara ya fedha nafasi ambayo hakuimudu, na pia ilimfanya atokomee mbali na jimbo.MWAKA JUZI wameru tukavote mbuzi ktk gunia.

Safari hii ccm wasitulaumu kwani kibaya zaidi wanatuletea kijana wa mbunge ambaye hajatuletea maendeleo.KWA HILI ni kutudhalilisha kana kwamba sisi hatujazaa vijana wengine.

Tunamwambia KITOI arudi kwake monduli asituletee mkwe wake alieshiba kama yeye.SIOI WAMERU TUNAAPA KUWA HUPATI UBUNGE KWANI KTK UKOO WENU BABAKO TAYARI ALISHAPATA NA AKASHINDWA KUTUSAIDIA
 
Takeuchi una uhakika na hayo?/piga kampeni waamshe wenzio waliolala mpaka kieleweke
 
Tumekuwa 'bila mbunge' muda mrefu sisi wakazi wa meru_Tukumbushane:TALALA MBISE =kazi yake kubwa ni jusinzia bungeni miaka ya 90. JERY SUMARY:alipewa na Lowassa kiukwe na kupewa unaibu wizara ya fedha nafasi ambayo hakuimudu, na pia ilimfanya atokomee mbali na jimbo.MWAKA JUZI wameru tukavote mbuzi ktk gunia.

Safari hii ccm wasitulaumu kwani kibaya zaidi wanatuletea kijana wa mbunge ambaye hajatuletea maendeleo.KWA HILI ni kutudhalilisha kana kwamba sisi hatujazaa vijana wengine.

Tunamwambia KITOI arudi kwake monduli asituletee mkwe wake alieshiba kama yeye.SIOI WAMERU TUNAAPA KUWA HUPATI UBUNGE KWANI KTK UKOO WENU BABAKO TAYARI ALISHAPATA NA AKASHINDWA KUTUSAIDIA

unaongelea peke yako au wameru wote ? Ingependeza ungesema mimi . We sio msemaji wa wameru wote . Wacha vijana wapambane and let the best win.
 
yeah naongea kwa niaba yao,ccm hamtaambulia kitu kule safari hii
 
huku meru chichiem hampati kitu,zaidi ya milion 800 zimemwagwa ili toto wa summari asimamishwe,na istoshe ba mkwe ndo kafanya hivi.utawala wa ukoo haukubaliki huku kwetu meru!
 
Umenena baba,huku si unajua tarime cha mtoto
 
Hivi mzee Sumary (RIP) aliongoza kwa muda gani je hakuna familia nyingine ya wameru inayoweza kutoa mbunge hadi atoke familia ileile? basi si bure mmerogwa.
 
yeah naongea kwa niaba yao,ccm hamtaambulia kitu kule safari hii

Takechui uko kijijini kwenye kampeni au unaishia mtandaoni? -tupe ubaya wa mtu si mambo ya baba yake ;kama bado wameru mnapenda nyama na mbege mjue imekula kwenu kwa mzee mzima Edo na kikosi chake yangu macho. Ela kitu ingine babangu!
 
umejiandikisha? au unabwbwaja tu,mtu anashinda au anashidwa kwa hesabu za kura
 
Back
Top Bottom