Mdahalo: Je rais wa tanzania ana kazi gani kwa utumishi wa umma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo: Je rais wa tanzania ana kazi gani kwa utumishi wa umma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Feb 21, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Raisi wetu amewasadia sana watanzania kiuchumi na kimichezo
  na mengine mengi. Lakini kumekuwa na mnunguniko kuwa Raisi
  wetu ameshidwa kuwasadia watanzania wa hali ya chini.

  Wewe kama mwanaJF kwa maoni yako ni muhimu sana kwa ijenzi wa Taifa

  Je rais wetu asidie wapi ili wananchi wapate unafuu?

  Kumbuka maoni yako yateweza kusadia serikali kuwasadia wananchi wake

  Nawakilisha
   
Loading...