Kutoka maadui watatu 1961 hadi maadui kumi 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka maadui watatu 1961 hadi maadui kumi 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by falesy, Feb 21, 2012.

 1. f

  falesy Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2006
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF;
  Wakati tunapata Uhuru Tanganyika 1961 tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Tulipoanzisha Azimio la Arusha 1967 tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Mwaka 1977 tulipoandika KATIBA kwa Mara ya kwanza tulikuwa na Maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Tulipounganisha Vyama vya TANU na ASP na kutengeneza CCM mwaka 1977 tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Mwaka 1982 wakati wa Azimio la Zanzibar lilopelekea kufa kwa Azimio la Arusha bado tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Mwaka 1985 tulipobadilisha Rais tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); mwaka 1990 tulipofanya kura ya maoni kutafuta mfumo wa siasa (mult or single party) tuliongeza adui mmoja na kuwa na maadui wanne (RUSHWA, UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Mwaka 1992 tulipoanzisha mfumo wa vyama vingi tulikuwa na maadui watano mmoja akaongezeka (RUSHWA, UBINAFSISHAJI, UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Mwaka 1995 tulipofanya uchaguzi wa vyama vingi kwa mara ya kwanza tulikuwa bado tuna maadui watano (UBINAFSISHAJI, RUSHWA, UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Immediately baada ya Uchaguzi tukaongeza adui mmoja tukawa na maadui sita (POLISI UAJI RAIA, RUSHWA, UBINAFSISHAJI UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Mwaka 2005 akazaliwa adui mwingine tukawa na maadui saba (CCM, POLISI UAJI RAIA, RUSHWA, UBINAFSISHAJI UJINGA, MARADHI na UMASKINI); 2005 hiyo hiyo tuakazalisha adui mwingine na kuwa na amaadui nane (UFISADI, CCM, POLISI UAJI RAIA, RUSHWA, UBINAFSISHAJI UJINGA, MARADHI na UMASKINI); 2009 tukazalisha adui namba tisa (CUF, UFISADI, CCM, POLISI UAJI RAIA, RUSHWA, UBINAFSISHAJI UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Na kati ya 2005-2012 tuna adui wa kumi ambaye lazima aondoke (KIKWETE, CUF, UFISADI, CCM, POLISI UAJI RAIA, RUSHWA, UBINAFSISHAJI UJINGA, MARADHI na UMASKINI)

  Kwa hiyo kutoka maadui watatu 1961; hatujawahi kumpunguza hata mmoja bali tumeongeza wengine wengi tu; na kuna mmoja anatunyemelea kwa kasi UWONGO WA MAWAZIRI WA SERIKALI HII ya Kisanii
   
 2. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  like that.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Duuuuuu hatari sana mkuu maadui ni wengi sana.
  Kuna ukweli ndani yake!!
   
 4. H

  HEKIMANIUHURU Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Perfect, nafikiri ni zaidi ya hao.. 11. Uchakachuaji wa kura, 12. Udini.
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,087
  Likes Received: 10,447
  Trophy Points: 280
  huyo adui wa kumi anatakiwa aangamizwe haraka iwezekanvyo.
   
 6. Kisiya Jr.

  Kisiya Jr. Senior Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka umetsha,critical analysis!
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  kuna mwingine ulimsahau,UKABILA wa akina SLAA na CHADEMA wenzake!
   
 8. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Adui mwingine ni mgomo wa madaktari.
   
 9. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  I like this, very nice analysis mkuu big up
   
 10. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  kuna maadui wengi sana,mwingine ni TANESCO!unit1 ni mpaka ths 350 sasa.
   
 11. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anzisha ya kwako mkuu,au kila ki2 mnaiga?
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hayo ndio uliaminishwa na Nyerere. Alikuwa hajui kuwa tuna maadui wengi tu.
   
Loading...