Mabwepande kuna agenda gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabwepande kuna agenda gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inkoskaz, Feb 21, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Najiuliza
  Serikali inatumia nguvu na gharama kubwa kule mabwepande .yaani ni kama kuna UN operation ya refugees
  Magari ya jeshi yanapishana kuweka mahema na kupeleka maji safi
  mabomba yanavutwa na umeme unapelekwa.viwanja vimepimwa na wahanga watajengewa mabanda ya uani kwa gharama za serikali
  chakula pia wanapelekewa
  Najiuliza
  mbona waathirika wa mabomu ya gongo la mboto hawakufanyiwa haya ilhali wao walikuwa wakazi halali wa eneo lililoathirika?
  vp hawa wa jangwani watendewe kinyume wakati wao walikuwa ni wavamizi wa maeneo hatarishi na wakaidi wa amri za serikali?
  Najiuliza
  hadi wapangaji wao pia wanpewa viwanja fior free!
  ndio tumefikia hapo?
  kila kaya imesimika mti na kupeperusha bendera ya kijani kumshukuru jamaa na chama chake lakini je ni matumizi halali ya kodi za watz?
  Matumizi ya resource kama hivi yangeelekezwa kwenye vipaumbele vya taifa hakika tungekuwa mbali
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wapiga kura hao wamagamba jiulizr wahanga wa gombs hali zao zikoje leo na wadau wamechangia mamilioni lakini mtu kaambulia sado ya harage na sembe na kagoro je wale wahanga wa mbagala nao vp cheque zao zinacheka au zimenuna?
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  uwiano katika kuwashughulikia waathirika halali na waathirika wavamizi hat siuelewi
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ngoja nivute kiti nikae karibu na Sikirini kwani naona kuna picha inakaribia kuanza!!
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  mkuu ukifuatlia kwa makini hiyo issue utaoma kuna something being cooked
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  mkuu umenichekesha sana...
  mi ngoja nkalale naona ka picha yenyewe ni ndefu ntakesha hapa bureee. kesho ntaangalia marudio.
   
Loading...