Kwanini nhc wasiende kujenga mabwepande | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini nhc wasiende kujenga mabwepande

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rodrick alexander, Feb 21, 2012.

 1. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,102
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  kwanini nhc wasiende kujenga mabwepande

  wanajamii forum naomba mnisaidie kitu kitu kinachonikera nikipita kwenye nyumba za nhc ambazo zilijengwa kwa utaratibu mzuri wa kuwepo maeneo ya kuchezea watoto na kupaki magari unakutwa yamezungushiwa mabati kwa ajili ya kujenga nyumba za kuuza nhc.
  nhc ni shirika la serikari likiwa chini ya wizara ya ardhi,nyumba na makazi hivi lipo juu ya sheria kiasi cha kwamba halielewi nini maana ya mipango miji.kama ni kutekeleza sera za ccm wakajenge hizo nyumba mabwepande badala ya kuleta msongamano usio na maana hapa mjini.

  nakerwa ninapomuona huyo mkurugenzi wao akijitangaza yuko tayari kufa ili mradi atimize ahadi ya rais ya kujenga nyumba 15000
  nina wasiwasi anawweza kuja kiongozi mwingine akazibomoa kwa sababu tu ya ujinga unaofanyika sasa hivi na kuwapa hasara wananchi ya bure.

  jambo jingine naona hawajui nini madhumuni ya kuanzishwa shirika la nyumba la taifa.shirila hilo lilianzishwa kutimiza usemi wa binadamu wote ni sawa kwa maana ya mahitaji ya malazi,chakula na mavazi lakini ukiona nyumba walizojenga unajua kabisa hawajui hilo sio dhumuni la kuanzishwa hilo shirika mtanzania wa kawaida ataweza vipi kumudu kulipa nyumba ya thamani ya sh67,000,000/= ni heri wabinafsishe tujue kabisa hilo shirika sio la wananchi badala ya kutumia kodi zetu k
   
Loading...