Chadema nao mafisadi, wametumia milioni 60 uchaguzi mdogo tu Uzini ~ Jussa

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Jussa:Chadema wametumia milioni 60 uchaguzi mdogo tu uzini.
Na Ismail Jussa

Tumetumia milioni 7 tu wakati Chadema wamenambia wametumia milioni 60 (haidhuru mimi naamini wametumia zaidi kwa mambo tuliyoyaona kule). Sasa katika hali hiyo, kuna lipi jipya? Nani aliyepoteza? CUF inajua inachokifanya.

source: mtandao wa Mzalendo
 
Pengine ililazimu wafanye hivyo maana kampeni zao zilienda sambamba na kutambulisha chama.
 
kafurahiiii mwenyewe! Hizo picha kaziweka twitter na facebook.
 
Jussa ndoa yako na CCM imekushinda? inakuwaje unaanza kutoka nje ya ndoa mapema hivyo? chukua jukumu la kulea ndoa yako.
 
Jussa sasa amefilisika kisiasa amebaki tu na siasa za maji taka na za kidini. Kuwa CUF mlitumia millioni 7 na CDM walitumia millioni 60, tatizo ni nini? Kule Igunga mlifadhiliwa na mme wenu CCM mka-kodi Helkopita, vipi safari hii hajawapa chochote?
 
Hiyo source yenyewe 2 ambayo ni mzalendo.net imekaa kipemba pemba so 4 us magreat thinkers wr aware bout dis also huyo Jussa ni mlopokaji sana na wakati yy kwa kumuangalia ni kama muiraq fulani hivi au kama muafghanstan so kwa mm hanipi shida kwan hata 2kimfanyia local analysis utagundua kwamba katoka ukoo wa maslave traders"
 
viongozi wa CDM toleeni maelezo hili swala mbona mmekaa kimya?? wengi wenu najua mpo humu jamvini!!
 
Wao wametumia milioni 60 wakatoka nafasi ya mwisho mpaka ya pili. wewe umetumia milioni saba ukatoka nafasi ya kwanza mpaka nafasi ya tatu. cha ajabu ni nini?
 
Jussa wewe si ulisema "CUF ilishindwa Uzini kwasababu kuna watu wengi watokao bara na pia kuna wakristo wengi"

Orodha ya visingizio haijaisha tu?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Una evidence yoyote ya hayo matumizi ya million 60? Au haidhuru unaamini wametumia zaidi kwa mambo uliyoyaona kule.
Tunahitaji information zaidi Jussa!

for the first tym nakuunga mkono, by the way Jussa ana makelele sana haeleweki
 
Jussa:Chadema wametumia milioni 60 uchaguzi mdogo tu uzini.
Na Ismail Jussa

Tumetumia milioni 7 tu wakati Chadema wamenambia wametumia milioni 60 (haidhuru mimi naamini wametumia zaidi kwa mambo tuliyoyaona kule). Sasa katika hali hiyo, kuna lipi jipya? Nani aliyepoteza? CUF inajua inachokifanya.

source: mtandao wa Mzalendo

mi nadhani Jussa angetoa lists ya malalamishi yake yote then tuyatie mfuko wa nyuma, ila kwa sasa ni mtuache tu-discuss potential issues, good morning
 
Jussa sasa amefilisika kisiasa amebaki tu na siasa za maji taka na za kidini. Kuwa CUF mlitumia millioni 7 na CDM walitumia millioni 60, tatizo ni nini? Kule Igunga mlifadhiliwa na mme wenu CCM mka-kodi Helkopita, vipi safari hii hajawapa chochote?

inaonekana hujui kujenga hoja?
 
Jussa sasa amefilisika kisiasa amebaki tu na siasa za maji taka na za kidini. Kuwa CUF mlitumia millioni 7 na CDM walitumia millioni 60, tatizo ni nini? Kule Igunga mlifadhiliwa na mme wenu CCM mka-kodi Helkopita, vipi safari hii hajawapa chochote?

Jamani....hivi mlitegemea CUF wafurahie ujio wa nguvu wa CHADEMA Zanzibar!? Unafikiri hilo halitakuwa na athari kwenye muafaka!? Kama CHADEMA kikiwa chama kikuu cha upinzani Zanzibar na CUF ikawa irrelevant, muafaka hautakuwa na nguvu tena ya kuibeba CUF!
 
Ismail Juha sor Jusa hajui harakati za siasa nje ya Pemba naamini CDM walitumia zaidi ya m 60 kuweka kambi znz kwa wanachama walionda znz na viongozi, usafiri, gari la matangazo, vifaa kama bendera kofia nk. Milioni 60 ni kidogo sana, at least nw wazanzibari wanamaneno ya ukombozi masikioni mwao, 2015 kitaeleweka tu.
 
Huyu Jussa jamani inaonekana dhahiri ni mtu anayetapatapa, kama wao walijua itakuwa ngumu kulinyakua jimbo la uzini, kwa nini waliingia katika kinyang`anyiro hicho, sasa wameaibika wanaanza eti oh CDM wametumia fedha nyingi.... Nenda zako!
 
Back
Top Bottom