Tanzania's President Jakaya Kikwete has received high praise for the way he has handled the issue of the new constitution, with analysts reporting that it has helped restore faith in the ruling...
DCI Manumba juzi alitoa Repoti juu ya ugonjwa wa Dr Mwakyembe ambayo inaelezea kwa wao kama polisi wanachokiamini na ndiyo kauli ya Jeshi la Polisi.
Wizara ya Afya na kutokana na maelezo ya Waziri...
....Leo kwa mara ya kwanza nimesikia kituko kilichotokea kwenye kikao cha kamati ya Marando iliyoundwa kusimamia suala ya madiwani waasi wa CDM-ARUSHA ambacho sidhani kama kiliwai sikika...
Jamani, nimeguswa sana na hali aliyo nayo Mbunge wetu wa Kyela, Mh. Mwakyembe. Kusikitishwa huku hasa kunatokana na mazingira mazima yanayozunguka hali aliyonayo mbunge wetu huyu, ambaye zaidi ya...
kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma ambaye jina lake sikulishika vizuri anasema vurugu zilizotokea leo asubuhi kati ya waandamanaji na polisi na kusababisha vifo vya watu watatu zimesababishwa na...
VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Arumeru, juzi waligoma kupokea posho ya Sh 5,000 kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu, Catherine Magige kwa madai kuwa ni ndogo na za kuwadhalilisha...
Walianza kwa kupandisha ushuru hivi karibuni. Wananchi na wafanyabiashara wa wa eneo la Soko la Soweto Jijini Mbeya wakagoma kulipa ongezeko hilo. Ulikuwa mgomo ulioathiri shughuli zote za uuzaji...
Chaguzi ndogo mfano ule wa Igunga, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vilitumia pesa nyingi sana kwa ajili ya Kampeni.
Nikiwa mwanachama na mkereketwa wa UKWELI ya CHADEMA nashauri tusisimamishe...
A Letter For A President Part 8
"Any leader who do not have a Dream, not Visionary and not living for what has not yet occurred with attention to the promise of the possibilities of...
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, ameondoa mashtaka aliyoyafungua katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, dhidi ya...
Ni muda mrefu sijamsikia mwanasiasa huyu machachari,
Anahitajika sana hasa wakati huu wa kampeni Arumeru, sijui safari hii ataendeleza fadhila au alishamaliza kulipa deni. Maana CCM B wamejitoa...
ibara ya 14 ya katiba inasema kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake kwa mujibu wa sheria.
Ibara ya 20 ya katiba ya jamhuri ya muungano inasema kila mtu...
Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) imekiuka mikataba miwili muhimu inayoongoza kazi zake na kusababisha matatizo ya maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo maeneo mbalimbali ya Jimbo la...
Ukitaka kumjua Jakaya Kikwete ni nani...................uta google na chanzo kimojawapo cha habari kinachotumiwa sana hapa duniani kiitwacho wikipedia, the free encyclopedia kimeandika habari...
Sitta: Siogopi kushtakiwa kwa kumtetea Mwakyembe
Mwananchi, Mon, 20 Feb 2012 15:36:02
Waandishi wetu, Dar na mikoani
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel...
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed na wenzake 10, wamewasilisha Mahakama Kuu mapingamizi ya kisheria, wakidai kiapo kilichowasilishwa na Wakili Twaha...
Wadau mwenye taarifa sahihi atujuze vizuri ni lini Chaguzi ndogo za Madiwani Arusha zitafanyika? Mbona Igunga na Arumeru zimeshaitishwa kule wanasubiri nini? mahakama si ilishatoa hukumu
Nimetafakari kwa kina kuwa Mh.SITA anaweza kulibadilisha JESHI LA POLISI likawa la VIWANGO na KASI ZAIDI kwa kuzingatia UTAWALA wa SHERIA badala ya NGUVU NYINGI ambazo zinaligharimu taifa na...