Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeanza mchakato wa kufanyia mabadiliko ya noti mpya ya Sh500, ili iwe ya sarafu baada ya kujiridhisha kuwa inachakaa kwa haraka zaidi. Akizungumza na gazeti hili...
12 Reactions
100 Replies
8K Views
Yule kibabu aliyepata kuwa katibu mkuu wa CCM Luten Yusuf Makamba ameibuka baada ya kimya cha mda mrefu na kuwaasa watanzania waache kufikiri kwamba wanaishi peponi kwa kulalamika kila siku kuwa...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Wana JF naomba mtu mwenye data kamili kuhusu washiriki na MATOKEO Yao ya ubunge (percentage) wa ARUMERU mashariki anijuze. I know things are dynamic and can not be used solely to Predict outcome...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kumezuka mgogoro ndani ya UVCCM arusha kuwa mhe mwigulu nchemba amekuwa akifanya ziara arumeru mashariki ambayo haikuwa na baraka za chama. Mmoja ya vigogo wa UVCCM mkoa wa arusha amesema huyu...
0 Reactions
126 Replies
11K Views
Nahodha: Sijui DCI Manumba alikoitoa ripoti ya Mwakyembe Send to a friend Monday, 27 February 2012 19:55 digg Waziri wa Mambo ya Ndani,Shamsi Vuai Nahodha ASEMA UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niseme tu machache, ambayo yanahusiana na nchi yetu Tanzania. Awali ya yote Mimi mtanzania ninaeishi ughaibuni. Naandika hii page ikiwa ni ujumbe mzito kwa raisi wetu. Pia nataka waTZ wenzangu...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Mchakato wa Katiba mpya bado ni mjadala endelevu hadi hapo itakapopatikana. Mwishoni mwaka 2011 Wabunge hasa wa CHADEMA hawakuridhika na maamuzi ya Bunge kuupitisha mswada huo. Walitoka nje...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Makamu wa Rais Dk.Mohammed Bilal amepita muda si mrefu eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya akiwa na msafara wake wenye magari kadhaa. Kilichoshitua watu wengi ni ile kasi ya mbio za mwenge...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Uraia wa SIOI utata mtupu,CCM kutangaza mgombea mpya ARUMERU leo. Chanzo:magazeti ya leo. ============ Updates: Wakuu nimerudi na taarifa kamili sasa. Taarifa kamili ni kwenye GAZETI LA...
1 Reactions
133 Replies
13K Views
Wakati kukiwapo na waraka wa Serikali unaopiga marufuku magari ya yake kutembea baada ya saa za kazi bila kibali maalumu, magari hayo sasa yanaonekana kwenye baa na kumbi za starehe nyakati za...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Niko songea muda huu, polisi wanarusha mabomu ya machozi ovyo. Kuna taarifa ambazoo sijazithibitisha kuwa mtu mwingine ameuwawa mchana huu, na nyingine zinasema wananchi wamekamata wauwaji...
3 Reactions
95 Replies
10K Views
Vuguvugu la kuwapata wagombea watakaochuana na hatimaye kupigiwa kura kujaza nafasi ya Ubunge iliyoachwa wazi wa marehemu Jeremiah Sumari inashika kasi.Ninachowaomba wana-Arumeru Mashariki...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanzo » Habari Mama Maria ataka wake za viongozi kutambua dhamana zao Na Mwandishi wetu 26th February 2012 Mke wa Hayati Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amewataka wake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Reginald Miruko - Imechapwa 15 February 2012 MPANGO wa kuzima wabunge kugombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nusura umwengue Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa faida ya Watanzania wote ningeomba tujuzane na kuelimishana wajibu alionao mh. TENDWA kwa mujibu wa sheria.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Imefika mahala sasa kwa kila mtu makini kuielezea hali halisi ya TZ katika the most critical and extreme way possible…maana hali halisi ya sasa TZ haielezeki otherwise. ..Tunaona versions tofauti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana mji wa Tabora mjini (viwanja vya salama)ulizizima baadaya mkutano mkubwa uliofanywa na CUF ukihutubiwa na Naibu katibu mkuu bara Mtatiro Julius na Mbunge wa Tabora viti maalum CUF Magdalena...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
aliyekuwa mhariri wa family mirror, bwana Musendo Ilikuwa siku, wiki mwezi na miezi na hatimaye miaka mitatu na miezi kadhaa ilikwisha, Zephania Musendo alijikuta kuwa mtu huru tena juzi...
0 Reactions
67 Replies
14K Views
Wanajamii; Kwa wafuatiliaji wa habari bila ya shaka watakua wamegundua kuwa Makamu Wa Rais Mh. Dk Bilali kwa kipindi kirefu sasa amekuwa katika ziara za kikazi mikoani na wilayani na kupewa kipau...
8 Reactions
196 Replies
15K Views
Baada kuwa na ziara katika mikoa ya Rukwa na Mbeya hatimaye leo ameanza ziara ya siku tatu huku kama kawaida ya mkasi wake ataendelea na ufunguzi miradi mbalimbali na hatimaye kuhitimisha ziara...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…