Wanajamvi,
Kwa kipindi hiki cha mwaka, huwa ni mwanzo wa mvua kwa maeneo ya huku Arusha na Kanda nzima ya Kaskazini.
Kwa wanaofika Arusha, wataona bila kuambiwa kuwa eneo la Mlima Meru na maeneo...
Tetesi nilizopata kutoka ndani ya chama dume Chadema zinadokeza kuwa jukumu la kumnadi Mgombea Joshua Nasary wa arumeru mashariki amepewa Kamanda wa jeshi la ardhini Godbless Lema,kutokana na...
Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa{TAKUKURU} mkoani Arusha imewakamata watu wanne wanaodaiwa kwa ni wafuasi wa Chama Cha mapinduzi,CCM kwa tuhuma za kutoa rushwa kwa wajumbe wa mkutano wa jimbo...
Ofisi ya CUF Mkoa wa mara imefungwa kwa viongozi wote wa mkoa kujitoa na kudai kuwa wanajipunyua manyoya ya CUF na kushusha tuhuma nzito kwa uongozi wa CUF taifa kuwa umekosa mwelekeo na...
Wapendwa,
Kasi inayoonyeshwa na makamanda wapiganaji wa Chadema Morogoro inawatisha chama cha Maumivu au Magamba kiasi kwaba wanakesha wakiweka vikao vya kuwarubuni Vijana,Wanawake na Wazee...
Kuna viongozi wengi ambao niliwaamini kwa nguvu
waliotoka nayo mtaani,na matatizo wanayo yajua ya
vijana,lakini hamuwezi kuamini hii nchi inaongozwa
kwa misingi ambayo vyama vyote vinafata hiyo...
Mhe. Mulugo, Naibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alisoma High School Songea Boys kuanzia mwaka 1994-1996. Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Songea Boys kipindi hicho...
Elias Msuya
MKANGANYIKO wa kauli za viongozi wa serikali kuhusu ugonjwa unaomsumbua Naibu waziri wa ujenzi Dk Harrison Mwakyembe unahusishwa na fukuto la kashfa ya Richmond aliloliibua na...
Wakuu nisaidieni kunijuza, hivi kile kitengo cha propaganda cha Chama Cha Mapinduzi kilichokuwa chini ya Tambwe Hiza bado kipo? Maana tangu mwaka 2010 baada ya uchaguzi mkuu sijakisikia na wala...
Matatizo kwa mtu yeyote, taasisi, nchi nk. ni sehemu ya uhai wake. utofauti unakuja pale mbapo mtu mmoja anapatwa na tatizo na mara hiyo anarespond to it (rightly and effectively). Wakati mtu...
Rais Kikwete asitisha uuzaji shamba la mpira
Steven William, Muheza
RAIS Jakaya Kikwete imepiga marufuku kuuzwa kwa mwekezaji yeyote shamba la mpira la Kihuhwi Rubber Plantations, liliyopo...
Mar 1
MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MACHINJIO-IRINGA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la msingi...
Wana Bodi wenzangu, labda nianze kwa kusema sina wasiwasi na utendaji wa Celina Kombani hata kidogo kwa kuwa sote tumemuona akiwa naibu Waziri na baadae Waziri kamili kwenye wizara nyingine...
JK: Hatutaki Rais mzee 2015
Na Nasra Abdallah
WAKATI makundi ya urais yakijipanga kuwania kiti hicho mwaka 2015, bila kuyajali, Rais Jakaya Kikwete amesema wanaota urais wakiwa na umri...
Mwandishi Wetu - Raia Mwema
Rais Jakaya Kikwete
Mali zao kutangazwa hadharani Desemba,
sheria kufumuliwa
Wengi serikalini wajipanga kukwamisha
utekelezaji
Kikwete aiga mfumo huo kwa Rais...
Wanachama wa CCM wamechoka na sasa imekuwa ni aibu kubwa huko Meru kwa namna vitendo vya kuchafuana vinavyoendelea baina ya wagombea wawili SIOI na SARAKIKYA. Matusi, rushwa, uzushi, mnyukano na...
Wana Jamvi,
Habari kutoka watu wa karibu na SIOI, inasema kuwa kundi limejipanga kuwa endapo atashindwa kwenye kura za maoni au atashinda na pengine CC ya CCm ikamtosa, then wataungana na Chadema...
Wednesday, 29 February 2012 08:32
Pamela Chilongola na Keneth Goliama
MWENYEKITI wa Chama Cha Tanzania Labour Part (TLP ) Augustino Mrema amemtaka Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwa na...
SERIKALI ya Zanzibar imekiri kuondoa Wahariri wawili wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) kwa madai ya kuwagonganisha vichwa (fitna) Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza...
Mahakama yaamuru Jangwani wasibomolewe
Nora Damian Dsm.
MAHAKAMA Kuu,Kitengo cha Ardhi, imetoa amri kwa mamlaka zinazohusika kutovunja nyumba katika eneo la Jangwani mpaka itakapotoa uamuzi...