LEMA kuwa mkuu wa Operesheni Shinda Arumeru

Ritts

Senior Member
Feb 28, 2012
136
33
Tetesi nilizopata kutoka ndani ya chama dume Chadema zinadokeza kuwa jukumu la kumnadi Mgombea Joshua Nasary wa arumeru mashariki amepewa Kamanda wa jeshi la ardhini Godbless Lema,kutokana na ushawishi alionao huku John Mrema akiwa meneja wa kampeni.bravo Lema,VIVA CDM.
 
Mkuu unauhakika na tetesi yako, Mbona Joshua bado ajapitishwa na kamati kuu kuwa mgombea?
 
Tetesi nilizopata kutoka ndani ya chama dume Chadema zinadokeza kuwa jukumu la kumnadi Mgombea Joshua Nasary wa arumeru mashariki amepewa Kamanda wa jeshi la ardhini Godbless Lema,kutokana na ushawishi alionao huku John Mrema akiwa meneja wa kampeni.bravo Lema,VIVA CDM.

Acheni kupeana majina ya kihuni!
 
Asante kwa kutujuza lakini lazima nitoe angalizo mapema Lema akiachiwa aongoze hyo operesheni mjiandae kwa kesi ha ha ha ha ha ha.

Tetesi nilizopata kutoka ndani ya chama dume Chadema zinadokeza kuwa jukumu la kumnadi Mgombea Joshua Nasary wa arumeru mashariki amepewa Kamanda wa jeshi la ardhini Godbless Lema,kutokana na ushawishi alionao huku John Mrema akiwa meneja wa kampeni.bravo Lema,VIVA CDM.
 
Wakuu hii game Wameru wakikubali kuhongwa si hatumo!. Pesa itatumika ya ukweli kuhakikisha kuwa CCM watashinda! Watu wa huko Meru kuleni hela na muwalipie watoto wenu karo ila muhakikishe tarehe 1 Aprili mnafanya kweli! Kila la kheri Makamanda.
 
Nadhani ni busara zaidi tusubiri kwanza CC ikae and then...

mnzisansu ivi cc si watakuwa wehu kama wakimpitisha msami aliepata kura 8,its example without rename other contestant.Exactly it show that Nasary have da possibility to stand as Cdm electn candidate in meru province meeeeen
 
Ngongo lazima wewe ni mkimbizi toka somalia,mana mkimbili lazima awalambe mabwana zake aendelee kupata sembe
 
Unawapaje hongera kama ni tetesi?means hazijathibitishwa/huna uhakika nazo?vema kusubiri but vyovyote itakavokuwa binafsi nawaombea ushindi cdm
 
Hoa watoto wa kichaga msiwaamini sana wanaweza wakauza kazi kawanini John Mrema kang'ang'ania operation mapaka kashushwa cheo,mwisho wa gemu msijelia wazazi............maana Lowasa and the gang lazima watembeze mpunga jamaa hawezi kubali kuadhirika na mkwewe
 
Wachaga wawili mbele ya mshiko sio wa kuwaamini hata siku moja, maana mihela aliyo nayo Lowasa sijui imehifadhiwa kwenye makontena mangapi!!
 
Back
Top Bottom