TAKUKURU yakamata wana-CCM Arumeru Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAKUKURU yakamata wana-CCM Arumeru Mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by BigMan, Feb 29, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa{TAKUKURU} mkoani Arusha imewakamata watu wanne wanaodaiwa kwa ni wafuasi wa Chama Cha mapinduzi,CCM kwa tuhuma za kutoa rushwa kwa wajumbe wa mkutano wa jimbo la Arumeru

  Mashariki[/FONT] [FONT=&amp]Chama hicho kinarudia upigaji wa kura kutokana na uamuzi wa kamati kuu{CC} ya CCM kwa wagombea wawwili Sioi Sumari aliyepata kura 361 na Williamu Sarakikya alifanikiwa kupata kura 259. [/FONT] [FONT=&amp]

  Watu hao ambao inadaiwa kuwa ni wafuasi wa mmoja wa wagombea ubunge wa jimbo hilo wamekamatwa akiwemo katibu wa jumuiya ya vijana ya chama cha mapinduzi wilaya ya Monduli {UVCCM}Ezekiel Mollel.[/FONT]

  [FONT=&amp]Watuhumiwa hao inadaiwa kuwa waliwekwa ndani kwanza katika kituo cha polisi cha mji mdogo wa Usa river kabla ya kupelekwa makao makuu ya taasisi hiyo yaliyopo Jijini Arusha kwa mahojiano zaidi. [/FONT] [FONT=&amp]

  Kamanda wa Takukuru mkoani Arusha Mbengwa Kasomambuto amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao ambao ni wanachama wa UVCCM katika wilaya za Arumeru,Mondulu na Arusha.[/FONT] [FONT=&amp]

  Aidha taarifa za uchunguzi utoka Arumeru zimebaini kwamba vijana wawili wa UVCCM Arumeru na mmoja aliyewahi kuwa kiongozi wa jumuiya hiyo jijini Arusha walifanikiwa kutimua mbio na wanasakwa na Takukuru. [/FONT]
   
 2. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,142
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Tutarajie mengi kipindi hiki kwani mbali na ushindani kati ya ccm na wapinzani, pia kuna CCM vs CCM monduli team.
  Na hii ni trailer movie bado.
   
 3. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kazi ipo kweli kweli!!!
   
 4. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lowassa in action!!! Mwaka huu atagawa sana pesa mpaka sitamwishia, lakini mambo yote ni 9, 10 cdm kuchukuwa ushindi. Tusubiri tuone!
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jimbo li wazi kwa ccm hata wakilisimamisha jiwe litashinda!
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nimeamini mapenzi ni upofu yaani mbali na vituko hivi vya kutimua mbio kujificha bado mtu anasema atashinda.
   
 7. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hao waliokamatwa tutegemea nin? Mi naona ni vunga tu kesi yao itaisha kimyakimya na sababu kubwa hapa ni mag.amba watawachuwa watu wao leo leo.
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kazi ya Njemba hiyo kusambaza rushwa
   
 9. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Hapo ndo huwa nazidi kuchoka na maamuzi ya wananchi
   
 10. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo nkwamba wananchi hawackii haya yajiriyo kilacku. Wangeshaamuaga.
   
 11. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sahihi kabisa, hakuna lolote hapo ni sasa tu ili ujumbe uende kwa wananchi kwamba jamaa alitoa rushwa na hivo wabadilike ktk kura za marudio, baada ya hapo kimyaaaaaa!Takukuru walikuwa wapi tokea uchaguzi umefanyika ndo wanakamata leo?wanatumika tu!
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Inawezekana mwenzetu unajua yaliyomo kuliko wana arumeru!!:yo:
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndo janja pekee ya ccm ambayo wananchi wamekwisha itambua kwani sasa wanaichukua hiyo rushwa na kura hawawapigii
   
 14. O

  OLEWAO Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  wakuu,

  Nilishasema CCM kwa sasa Mungu amewafitinisha ndio maana hawaelewani wao kwa wao, wanawekeana sumu, wanatishiana maisha,wabunge wao wanatishia kumpigia rais wao kura ya kutokuwa na imani naye,yaani ni kama wanajenga mnara wa babeli, hawawezi kubaki salama.
  Kumbuka salama yetu lazima CCM ianguke na dalili zenyewe ndio hizi, kajimbo kamoja kanawasumbua hivi.
  Na ubunge wataukosa. CDM wanachukua kama Joshua ameoa maana wakati ule hakupata kwa sababu kimila alikuwa hana boma.
   
 15. MZEE WA ROCK

  MZEE WA ROCK JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hamna lolote hapo wanapoteza muda hao TAKUKURU kwanza ni wanafiki wakubwa cku zote walikua wapi kuwakamata, hiyo ni vita ya makundi dhidi ya EL lkn hawamuezi akiona anaelemewa anamuita mwanae RA aje ampe tough, alf utaonma jk anasalimu amli huyo ndo ngoyai bwana
   
 16. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kumbe BOMA ni MWANAMKE...mi nilidhani nyumbani kwako unapoishi na mifugo yako!
   
 17. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Dr. Riwa upo hadi kwenye siasa.
  Vita ya wenyewe kwa wenyewe ni mbaya sana
   
 18. R

  Ritts Senior Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naskia we ni chiligati,ccm unayoisemea ni ya miaka ya 70 iyo
   
 19. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nyoooooooooooooooooo times million.CDM hata wakiweka a piece of dust wataikamerun CCM,Hhata ww usiwabeep proCDM watakukamerun fasta baada ya kukutwangia
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Arumeru imewakalia vibaya awamu hii.
  Game ipo kati ya Edward Lowassa vs CCM
   
Loading...