Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM ni chama kinachopoteza umaarufu wake kwa kashifa nyingi zikiwemo za ufisadi wa baadhi ya makada wake. Makada hao wenye nguvu kubwa ya fedha na mtandao mkubwa ndani ya chama na serikali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutokana CCM kutegemea pesa kuhonga wananchi ni vizuri tuombe Mungu zitokeze chaguzi zaidi ya tano ili wahonge mpaka wachakae. Ni vizuri tuanze kuhamasisha kale kamsemo ka KULA KWA CCM KURA KWA...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
USHINDI wa Siyoi Sumari kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki, unadaiwa kuitesa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, baada ya baadhi ya wajumbe kukuna vichwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeamua kuwasimamisha kazi Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali, ili kuweza kupisha uchunguzi maana hizi tuhuma zinafedhehesha taifa." "Kwa upande wa Waziri na Naibu Waziri wa Afya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna watu ambao siku zote walikuwa wanaombea kianzishwe chama kipya eti chadema hakiwezi kudumu na hakina uwezo wa kuwa chama cha siasa mmoja kati ya hao ni Mwandishi wa Raia mwema ambae...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Cha ajbu wake ECO-IMPERIALISTS kutoka Kenya (WWF& CO) waliopinga tusijenge barabara Serengeti wako kimya juu ya huu mradi kwa sababu una manufaa kwa kenya Tazama from 10:30
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Rungu la Kikwete lilimwokoa Siyoi Send to a friend Monday, 05 March 2012 09:17 Rais Jakaya Kikwete NAPE, WASSIRA WADAIWA KUSIMAMA KIDETE ATOSWE, JK AKATUMIA 'RUNGU'...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana Arumeru nimesikia kuwa Mzee Mkapa ndio atakuwa kiongozi wa uzinduzi wa kampeni za CCM hapa kwetu Arumeru MAshariki. Naomba akija ajibu maswali haya 1. Shamba la Madira Estate...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
For sure kama kinachoendelea Arumeru Mashariki hakitabadilika, Chadema wana jimbo.Nahofia tu fununu za ununuzi wa kadi za wapiga kura ambao wadau wanaozungumzia pia hawajanipa ushirikiano wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nikiwa mmoja wa wapenzi na mashabiki wakubwa wa mabadiliko makubwa kwenye nchi hii,naomba nichukue nafasi hii kutoa ushauri wangu kwa viongozi watendaji wa chama kinachoelekea kutupeleka kwenye...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
1) UBUNGO - Mgombea Hawa Ng'umbi alikuwa hakubaliki kwa wananchi. 2) Iringa (M) - Monika Mbega alikuwa hakubaliki kwa wananchi baada ya kumwengua Mwakalebela kwa kashfa ya rushwa. 3) Ilemela -...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu hii ni Taarifa iliyotolewa na BAVICHA kwa vyombo vya habari nawakilisha kwa maelekezo ya mkuu wangu wa kazi! Baraza la Vijanala Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, (BAVICHA) Mkoa wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari kwamba CCM inamtumia rais wa awamu ya tatu Ben Mkapa kuzindua kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru ni dalili kwamba JK hana confidence ya kukubalika kama atasimama. Kama CCM ina...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu wa URAMBO ni mambo gani Mh SAMWEL SITTA amewafanyiwa katika vipindi vyake vyote vya ubunge ambayo kamwe hamtayasahau? je hapo mlipo kimaendeleo mnastahili?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa viongozi wa chama, mbunge wetu mtarajiwa joshua nassari, wafanya biashara deal...,,,.. Vijana wa jimbo la arumeru mashariki tunahitaji nembo, bendera, magwanda na vitambulisho vya chama.. Tupo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Msisimko wa Kisiasa unapoendelea ktka maeneo mbalimbali ya Jimbo la Arumeru Mashariki kwenye uchaguzi mdogo yanakila dalili ya silaha za jadi kutumika.Hivyo tunavoimba vyombo vya usalama...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Mukama, Mzindakaya matatani Mukama, Mzindakaya matatani Na Mwandishi wetu - Imechapwa 22 February 2012-MWANAHALISI MRADI wa maji uliogharimu Sh. 1. bilioni ambao uliolenga kunufaisha vijiji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By OMAR MOHAMMED Posted Saturday, February 18 2012 at 14:01 We live in interesting times. Revolutions are springing up everywhere - The Arab Spring; Occupy Wall Street; Walk to Work. For...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inakuwaje Al-Adawi mmiliki wa Dowans Tanzania anaamuru kutopigwa picha na media nzima inakubali? Interests za nchi hii zimeishia wapi? uzalendo upo wapi? yaani ninavyojua lile gazeti ambalo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mheshimiwa Waziri, Its obvious kuwa wewe ni msomi na ndio kioo chetu huko nje lakini inaonekana kuwa kijana wako bwana Assah Mwambene isnt doing his job properly ba bila kusahau wahusika wengine...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…