Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUMBIRI, Mar 8, 2012.

 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wengi wamekuwa wakihoji kwa nini Waziri wa Afya ajiuzulu? Hata Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nae alihoji swali hili wakati akizungumza na Waandishi wa habari hivi majuzi na akaenda mbali kwa kusema Waziri Mponda ni mgeni pale Wizarani na hadly ana kama mwaka mmoja ofisini. Kwa wale ambao hamjui kiini cha Madaktari kumchukia huyu Waziri napenda tu niwaambie kauli yake moja aliyoitoa wakati akihojiwa na waandishi wa habari kabla ya ule mgomo wa kwanza. Alisema hivi: Nanukuu  Mwisho wa kunukuu!
   
 2. C

  Cupid 50mg Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aondoke tu!.
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Alishasahau, wamkumbushe tena na tena!! Kiongozi mkubwa kama yeye tena Dr anashindwa ku-control kauli zake. Madaktari wakati mwingine walihitaji kitu kidogo, lakini kwa kauli kama hizo, inawafanya watu wawe discouraged!
   
 4. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  He must goooooooo
   
 5. Mganji

  Mganji Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Kama vp achape mwendo!
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Afe kabisa. Nchi haitapata hasara
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huyu anatakiwa afukuzwe na mapanga asionekane wala kusikika harufu yake hapa Tanzania. Akafie mbali na wala mait yake isirudishwe hapa Tz.
   
 8. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  duh hawa viongozi wetu hawajali kauli zao
   
 9. s

  sent items Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha upuuzi wewe hiyo kauli ndiyo iwe sababu hao madaktari ni makanjanja tu, huwezi kumpa Rais masharti.
   
 10. s

  sent items Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini asianze kufa mama yako au baba yako kwanza?
   
 11. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,682
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Wewe ni ******
   
 12. s

  sent items Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktari ni makanjanja tu. Sasa itakuwa mchezo kila idara ya serikali iwe inampa rais masharti huo ni upuuzi
   
 13. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni wakati wa kuanza kuwawajibisha viongozi kwa kauli zao za dharau. He should go. Ngojea tukaichapishe hiyo kauli tumbandikie mlangoni kwa ofisi yake. Anafikiri kuongoza wizara ya afya ni kuidhinisha hela za kupeleka vigogo nje tu, aangalie sasa wizara yake imefilisika, hamna vifaa mahospitalini, wanafunzi muhimbili hawana chakula ( hivi ukimnyima mtu chakula kwa siku saba weye si muuaji?)
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwani raisi ni nani? Km waziri wa wizara husika anatamka waziwazi kuwa wafanyakazi chini ya wizara yake hawamuhusu wanaomuhusu ni wapigakura wake, anabaki kuwa waziri wa kumwongoza na kusikiliza matatizo ya nani?? Kukiwa na tatizo lolote kwa madaktari watamfata nani? Nenda kaswaki unywe na chai ndo urudi kuchangia.
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  na kama rais atafanya kazi kwa umakini na umahiri hawezi pelekeshwa,hii yote inatokana na kuongozwa na rais asiyejitambua.
   
 16. Encyclopaedia

  Encyclopaedia Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mponda go please
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hao wanaokufa kwa kukosa huduma ni watoto wa mponda?
   
 18. s

  sent items Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unauliza rais ni nani kweli wewe chai ya rangi. Wakifukuzwa hao mawaziri ndiyo matatizo ya madaktari yataisha au wakija mawaziri wapya watakuja na pesa za kutoka mfukoni mwao kuwapa hao madaktari makajanja wakati bunge la bajeti limeishapita.? Punguza gongo wewe.
   
 19. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Pole sana Sent Item. Kumbuka madoctor wengi ni walipata dv ngapi Six.
   
 20. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kuna nini tena cha kumkawisha?
   
Loading...