Mbowe mgeni rasmi uzinduzi wa kampeni za CDM arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe mgeni rasmi uzinduzi wa kampeni za CDM arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by chachana, Mar 9, 2012.

 1. c

  chachana Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  katika Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru Mhe Mwenyekiti wa CHADEMA (T), KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI Freeman Mbowe (MB) atahutubia TAIFA-WATANZANIA.

  Hotuba hiyo itarushwa LIVE na STAR TV, RADIO Sunrsie na RADIO MJ katika siku ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi arumeru mashariki TAREHE 10 MACHI 2012 katika mji mdogo wa USA RIVER.

  Watanzania WOTE WATUNE STAR TV kusikiliza hotuba hiyo yenye mustakabali wa TAIFA LETU na yumkini yenye majibu ya MASUALA MENGI YA WATANZANIA.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Zingekuwa zimepangwa sambamba na mkuu wa kaya sidhani kama kuna mtu angeangalia na kusikiliza ya mkuu wa kaya..Kamanda kesho nitakuwa mbele ya screen yangu mapema mno. Na nashauri utaratibu huu uwe unafanyika kila mwisho wa mwezo..tumechoka kusikiliza hotuba za mtu asiye na tija.
   
 3. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  time please
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hii imekaa vizuri sana
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Vipi TBC1 hawarushi manake mimi huwa nawakamata hao kupitia DSTV.
   
 6. Najuta Kukufahamu

  Najuta Kukufahamu Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu tumechoka ngonjera na mipasho yake..maana ukitaka siku yako iharibike basi sikiliza riwaya za kikwere..mimi hua nikiangaliaga hua najibizana nazo na matusi na masonyo juu..shenzi
   
 7. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hapo umetikana Mkuu Kimbunga..
  Kwa jirani lazima au hata hivyo kutakuwa na update hapa JF
   
 8. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  kuanzia saa tisa mchana
   
 9. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Time plizzzz!!!!!!!!!!! I don't wait to listen to it.
   
 10. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Kesho kuanzia saa tisa kamili shilika la umeme litazima mitambo yake nchi zima kwa ajili ya kukata matawi ya miti yaliyo karibu na nyaya za umeme, zoezi hilo litachukua takribani saa moja na nusu.
   
 11. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  wengine tunatumia sola
   
 12. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nashukuru sana Comrade kwa taarifa
   
 13. S

  Stany JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Twende kaz the time 4 redemption is now.
   
 14. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hahahahahahahahahaha umeniacha hoi Sr. kwa nchi hii hakuna kinachoshindikana
   
 15. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mustakabali wa taifa unatolewa kwenye kampeni! tena na mtu ambaye uwezo wake ni afadhali wa mama muuza ????!!!!
  Kweli hili taifa lina laana!
   
 16. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hotuba yake isiwe ya kulalamika atoe kweli suluhisho la matatizo ili tusio na vyama atuvutie.Naamini atajitahidi kutoa sera zaidi zenye mvuto vinginevyo iwapo atatoa malalamiko tu atakuwa amewaboa watu.
   
 17. kingadvisor

  kingadvisor Senior Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni upotezaji tu wa pesa hata kanuni za kutafuta soko zinataka kampeni ya kutafuta wateja ulenge wateja husika.Uchaguzi unafanyika arumeru unahutubia taifa hiki nini nini kama si kupoteza pesa tu ilibidi Chadema ilenge Arumeru tu.

  Pili nakumbuka niliwahi kukutana na Kiongozi mmoja mwanamizi wa CCM mahali nikamuuliza kwa nini CCM waligoma Mgombea Uraisi wa CCM asifanye mdahalo na wagombea uraisi wengine kwenye TV ili watu wawapime na wawahoji live akasema uzoefu wake wa kisiasa watu wenye TV ni watu wenye maisha mazuri na wengi wao huwa hawaendi kupiga kura. Hawapendi kushinda juani kwenye mistari kusubiri wapige kura hivyo si kundi kubwa la maana la kukusaidia ushinde akasema sisi tunaenda vijijini ma-tv tunawaachia vyama vya upinzani wanaozura mijini na matajiri wao wasiopiga kura wanaowalenga.Hatuwezi kumwanika mgombea wetu kwenye TV ashambuliwe na maprofesa na wasomi wachache walioshiba wenye nyumba zenye A/C ,Feni na TV ambao kazi yao kuzomea au kushangilia lakini kwenye kura hawaendi.Akasema CCM wako makini kutumia pesa kwenye kampeni.

  Arumeru wenye TV na radio na muda wa kusikiliza hizo TV na Radio majumbani ni wachache mno na hawana muda kufuatana na aina ya maisha ya watu wa Arumeru.Ni upotezaji tu wa hela.Anyway ngoja tusikilize hiyo hotuba kwa Taifa badala ya hotuba kwa Arumeru.
   
 18. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135


  Kesho itakatiwa umeme kwenye stations zake.
  Mtaniambia.:A S 13:
   
 19. kingadvisor

  kingadvisor Senior Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni upotezaji tu wa pesa hata kanuni za kutafuta soko zinataka kampeni ya kutafuta wateja ulenge wateja husika.Uchaguzi unafanyika arumeru unahutubia taifa hiki nini nini kama si kupoteza pesa tu ilibidi Chadema ilenge Arumeru tu.

  Pili nakumbuka niliwahi kukutana na Kiongozi mmoja mwandamizi wa CCM mahali nikamuuliza kwa nini CCM waligoma Mgombea Uraisi wa CCM asifanye mdahalo na wagombea uraisi wengine kwenye TV ili watu wawapime na wawahoji lakasema uzoefu wake wa kisiasa watu wenye TV ni watu wenye maisha mazuri (MAISHA BORA YALISHAWAFIKIA) na wengi wao huwa hawaendi kupiga kura. Hawapendi kushinda juani kwenye mistari kusubiri wapige kura hivyo si kundi kubwa la kuaminika la kukusaidia ushinde akasema sisi tunaenda vijijini ma-tv tunawaachia vyama vya upinzani wanaozura mijini na matajiri wao na wasomi wao wasiopiga kura wanaowalenga.Hatuwezi kumwanika mgombea wetu kwenye TV ashambuliwe na maprofesa na wasomi wachache walioshiba wanaoishi kwenye nyumba zenye A/C ,Feni na TV ambao kazi yao kuzomea au kushangilia wakiwa kweye sofa set za nguvu lakini kwenye kura hawaendi.Akasema CCM wako makini kutumia pesa kwenye kampeni.Hawaendi kwenye huo mdahalo usio na Tija wanawaachia akina Profesa Lipumba na wagombea uraisi wa upinzani wengine ambao ndio wanaanza kujifunza siasa.

  Arumeru wenye TV na radio na muda wa kusikiliza hizo TV na Radio majumbani ni wachache mno na hawana muda kufuatana na aina ya maisha ya watu wa Arumeru.Ni upotezaji tu wa hela.Anyway ngoja tusikilize hiyo hotuba kwa Taifa badala ya hotuba kwa Arumeru.
   
 20. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  bora tupate mawazo chanya.big up mkuu.
   
Loading...