Kifo cha CUF kimetengenezwa na CCM, CHADEMA msifurahie hata kidogo hamko SALAMA hata nyie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha CUF kimetengenezwa na CCM, CHADEMA msifurahie hata kidogo hamko SALAMA hata nyie

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Mar 9, 2012.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Upo msemo wa Kiswahili unaosema mwenzako akinyolewa wewe tia maji. Nimeanza na msemo huo mara baada ya kuona na kutafakari kwa kina kinachoendela katika chama cha CUF nikagundua kuna somo kubwa ndani ya mgogoro huo hasa kwa CHADEMA. Ni ukweli ukiutazama kwa makini mgogoro waCUF umetengenezwa, hasa ukiangalia jinsi HR alivyoanza sasa zake katika awamu hii ya pili ya uongozi wa JK.

  Mtakumbuka jinsi HR alivyoanza kuichachafya CHADEMA pamoja na kushirikiana na CCM katika kubadili kanuni za Bunge ili mradi CHADEMA kisifurukute. Utakumbuka jinsi kwenye mdahalo alivyokihusisha CHADEMA na udini. Nasema huu ni makakati wa CCM ambao wameweka watu wake ndani ya upinzani ili kuvivuruga.

  CHADEMA msijidhani mko salama hamko salama hata kidogo kama hamtachukua tahadhari.Mwezenu mmoja Zitto ni rafiki mkubwa wa HR na katika mdahalo ule HR alitamka kuwa Zitto alimwambia kuwa ndani ya CHADEMA kuna udini mkubwa sana na mwenendo Zitto kwa sasa mnauona CCM ndio rafiki zake kwa kivuli cha kutofungwa na mipaka ya chama. Jiulizeni yale anayokuwa amepanga kuyazungumza huwa anakitaarifu chama chake.

  Haya kwenye kampeni za mwaka 2010 badala ya kupigia kampenia Slaa yeye alimpigia JK halafu mnaona mko salama nawaambia hamkao salama hata kidogo. Kiicheka CUF ni sawa na nyani kucheka ***** la mwenziwe wakati yeye analo. Hivi hizi proganda za Zitto na Januari za kupunguza umri wa uraisi mzani ni za bure kwa taarifa yenu Zitto hautaki urais na anajua kwa sasa yeye bado na hakuna Mtanzania anaweza kumpa Urais kwa sasa hili kwa ninomfahamu uelewa wake analijua.

  Niseme ukweli huu ni mkakati nje ya chama wa kuzuia Dr Slaa huko tuendako. Jiulezeni Makamba yuko kundi gani ndani ya CCM wanaopigania kumtoa mtu wao, hili kundi linauzoefu limejipanga ndani ya chama chao na nje ya chama.

  Lengo ni huko tuendako baada ya wao kushinda vita vya ndani ni kuwatumia ama ajenti wao kwenye CHADEMA kuzua mgogoro kama wa CUF. Tafakari
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CHADEMA wako njiani kufa? Wamuachie SHIBUDA waone aje kuwavua nguo uswazi
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Shibuda hana uwezo wa kuwalisha ujinga watu waelewa na wasomi ambao wengi wao ndio supporter wa C.d.m na kuhusu Zitto huyo mtu alishajulikana nyendo zake na sasa yuko monitored,nafikiri unakumbuka alipojaribu kukitingisha chama jinsi alivyo ona moto wake nje ya chama mpaka akajiona yupo uchi,kama ana mikakati ya kuiua c.d.m atakufa yeye kabla ya c.d.m
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu kosa la CUF ni ubaguzi wao wa waziwazi.Ni halali kweli mtu kama Jussa kutamka waziwazi bila kificho eti CUF ilishindwa Uzini kwa sababu ya Ukristo?? Cha kufurahisha hakuna kauli yoyote ya chama kukanusha maneno hayo kwa hiyo wajanja tukajua huo ndio msimamo wa chama.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Zitto hawezi fanya kitu watu washajua janja yake!
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe jamaa bonge la mdini! Every time unawaza ukristo tu! Nani asiyejua kuwa CHADEMA ina-thrive kwa sababu y kubebwa na Ukristo!
  Halafu wewe unashutumiwa na Tuntemeke kuwa ni kuwadi wa mwenyekiti, mbona hujajibu hizo shutuma?
   
 7. Martin Mwila

  Martin Mwila Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I would like to advice Mh Zitto to be very careful,The popularity he has should be handled with care,Mrema was once popular where is he now,I would not love to lose such an important person in the fight agnaist injustices of CCM.MR Zitto watch out before you regret.
   
 8. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jitihada zozote za kumchafua zitto hazitafanikiwa, zitto ana uwezo mkubwa na ushawishi mkubwa binafsi, wewe uliyeandika ndio mwenye nia mbaya na hicho chama unachokiunga mkono, lengo lako ni kuona zitto anatengwa ili kuibua maswali juu ya dini yake. Zitto ana haki ya kuamini kile anachokisimamia, hana siasa za maji taka za kununiana bila sababu, zitto na makamba wanashare the same common interest hata kama hawako katika chama kimoja, waulize wabunge wako waliokataa posho ni nani ameacha kuzichukua? sasa kwanini wanahubiri wasiyoyatenda?
  Zitto is a smart politician no one can damage his image.
  Na siku mkijaribu kumuondoa zitto CDM ndo utakuwa mwisho wenu, bado kuna watu wanaaamini cdm kwa uwepo wa zitto, safari n.k.
  Acha propaganda chafu, go away with your baseless allegations.
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Zitto haaminiwi CHADEMA kwa sababu ya dini yake, period! No wonder sasa wameamua kumtenga kiaina! Wanataka atoke mikutano wakafanyie baraza la maaskofu!
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huo ni mtazamo wako,C.D.M sio chama mtu mmoja,na kwa taarifa yako idadi kubwa ya wanachama na wapenzi wa C.D.M hawana imani tena na Zitto,na hata yeye mwenyewe analijua ilo
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jenga fikra kwa ubongo wewe na si kwa nani,prop safari,mh Arfi mbona wana aminiwa?au wao wamebadili dini?what a ****!
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Jussa: CUF imeshindwa Uzini kwa sababu ya Ukristo.
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  RIP CUF.Marehemu CUF ameacha mume CCM na mtoto ADC.Apumzike kwa amani
   
 14. Ngorunde

  Ngorunde JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 1,125
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa! CCM ni mgojwa anayezingatia dawa, CUF ilishindwa. R.I.P kafu.
   
 15. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Acha uhuni wako na ubaguzi wa kidini. Nani kakwambia Zitto anabaguliwa kwa sababu ya Dini yake. Ningekushauri uongee nae ili aache kuambatana na MAGAMBA.
   
 16. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tunazo taarifa zao mara kumi kidogo.

  Asante hata hivyo kwa kuumwa na jinsi CUF kilivyokaribishwa ndani ya serikali na kuchinjiliwa mbali hata kabla muafaka haujapata umri wa miaka mitano.

  Walichofanyiwa CUF inasikitisha sana japo hata Mtatiro hakuliona mapema hilo. Mnyika kaa mbali sana na hao vijana kwa kuwa Nguvu ya Umma haina imani nao.
   
 17. a

  allydou JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,486
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  i think i have apoint to talk about.

  zitto alianza vizuri siasa zake ndani ya chadema,

  akabadilika tabia na kua na itikadi za kimagamba, na kwa wafuatiliaji wazuri, naweza kusema alionyesha dalili zote za kutamani kuwa ndani ya magamba,

  hilo halikuwa kwa sababu magamba ni chama bora kuliko cdm, hapana, ni kwa sababu zitto ni mtu wa njaaa sana, lakini akashindwa namna ya kwenda magamba straight.

  what he did then, ikawa ni namna ya kufaidika akiwa cdm but through magamba, and this what has been going on for a while now.

  kwa fikira ya kawaida na ya kutosha na wala huhitaji kuambiwa na mtu, swala hili liko wazi.

  viongozi wajuu wa cdm najua wako makini , wamelifanyia kazi hili na im sure wanaendelea nalo kwa namna za kiistaarabu zaidi wanazojua wao.

  zitto hawezi kuvunja cdm kirahisi kama unavyofikiria wewe, he will rather die himself.

  bravo cdm.
   
 18. l

  louis ottaru Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna kapoint kdgo apo ila hakana uzito sana
   
Loading...