Natonesha vidonda.... **** ya kale yananuka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natonesha vidonda.... **** ya kale yananuka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Feb 21, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwanza - Kidonda kikipona huwa kovu ambalo haliumi hata likipakwa pilipili. Lakini kidonda sugu huendelea kuuma kila kikitoneshwa hadi hapo dawa itakapopatikana. Leo nimekusudia kutonesha vidonda, mchangiji endelea kutonesha vidonda zaidi.

  Pili - wahenga walisema mavi ya kale hayanuki. Nadhani walimaanisha yale ya vichakani na si haya tunayoyashusha kwenye vyoo vya kizungu wakati hakuna maji ya kuyasukuma.

  Tatu - watanzania tunakosa mfumo wa kufuatilia nyeti za kale na haraka huwa na tabia ya kushabikia mambo mapya. (Kuna waziri mmoja marekani ya obama, alijiuzulu hata kabla ya kuapa kwa kosa la kukwepa kodi ya vijisenti zaidi ya miaka 10 nyuma; nakapenda haka kautaratibu)


  • mavi ya kale = Dr. Hussein Mwinyi na kidonda cha Gongo la Mboto
  • mavi ya kale = Andrew Chenge na kidonda ni rada
  • mavi ya kale = Zombe na vidonda mnavijua
  • mavi ya kale = Karamagi, Lowassa, Rostam na vidonda ndugu richmond, dowans, na kidonda kipya
  • mavi ya kale = Mgodi wa North Mara na vidonda ni vifo kutokana na maji ya sumu
  • mavi ya kale = JK na kidonda ni IPTL
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kidonda=tumethubutu tumeweza na tunasonga mbele.
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kidonda; Suti tano za Mwarabu
   
 4. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  ehee! na ndugu mkapa na mgodi wa kiwira?
   
 5. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  plus Mrs. Mkapa
   
 6. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kidonda: uongo wa DCI na kesi ya Mwakyembe.
   
 7. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Kidonda=Safari za JK zisizo na tija kwa TZ
   
 8. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kidonda = twiga waliotoroshwa kwa ndege ya kijeshi kupitia KIA
   
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Anko che nkapa na dada yetu bi Anne kufanya biashara ikulu kwa kusajili ANBEM P.O.BOX 1 Magogoni Street ....Kampuni hii imejihussisha na ufisadi wa kiwira kupitia TNPOWER RESOURCES......
   
 10. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mavi ya kale = ANBEN Company limited,
  ilifanya biashara ikulu.

  Mavi ya kale = Meremeta.

  Kidonda = Kiwila Makaa ya mawe
   
 11. obm

  obm Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  LIKIDONDA:uchaguzi igunga na maandalizi ya aerumeru
   
 12. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mavi ya kale = muungano
  Kidonda = zanzibar
   
 13. N

  Nonda JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  EPA na changa la macho, maigizo ya kifo cha Balali.
   
 14. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  : kidonda= crdb
  mavi ya kale= mabasi ya kubebea wanafunzi.

  :kidonda=jk
  mavi ya zamani= barabara za juu (flyover) dar es salaam.
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Ile ya mwinyi kukata umeme , na kisha mkewe kuuza genereta ni mavi ua kidonda?
   
 16. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  nahisi hiyo itakuwa jeraha
   
 17. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jidonda lenye tetenus=JK na maisha bora kwa kila mtanzania
   
 18. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,028
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Kweli JF balaa! Siiwezi.
   
 19. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata hili la IPTL ni la Uncle Ben, lilianza wakati wake, anahusika moja kwa moja
   
 20. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na la mama Siti kuhusishwa na madawa ya kulevya Dar air port kipindi cha Lyatonga,mafi kabisa
   
Loading...