Mponda: Nitajiuzulu kuepusha vifo na si shinikizo la madaktari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mponda: Nitajiuzulu kuepusha vifo na si shinikizo la madaktari!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mizizi, Mar 8, 2012.

 1. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Waziri wa Afya Dr Haji Mponda amesema yeye atajiuzulu ili kuokoa roho za watanzania ambao wataathirika na mgomo mpya wa madaktari na si kwa shinikizo!

  Hayo aliyasema jana usiku kwenye kikao cha dharura cha baraza la mawaziri cha kujadili mgomo mpya wa Madaktari na Manesi!

  Hata hivyo Mponda ametoa rai kwamba watanzania wawe makini sana na jinsi watu wanavyotumia migogoro kwa maslahi yao binafsi huku wakisababisha maafa makubwa kwa raia wasio na hatia, Na kusema kuwa kama wana taaluma wakiingia kwenye ushabiki wa siasa nchi itaingia kwenye mgogoro mkubwa na kudhoofisha ustawi wa taifa letu!
   
 2. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeitoa wapi hiyo taarifa? Chanzo please?
   
 3. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Chanzo si Mponda amesema? We vipi? Au hujaamka?
   
 4. Zurii

  Zurii Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yes please chanzo
   
 5. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unataka niseme mimi ni ngeleja na nilikuwa kwenye kikao husika? Subiri basi!
   
 6. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivyo vitaarifa kutoka kwenye vikao vya kahawa havina mvuto kwa watu makini. Ungeandika 'inasemekana', nani angekuuliza chanzo? Pwambafu!!
   
 7. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Niandike inasemekana wakati muhusika ndio amesema hivyo? We vipi? Au ndio mmezoea udaku! Kama wewe ni Tomaso basi subiri hadi mwisho umuone Mponda anatangaza kwenye TV kwa macho yako kesho!
   
 8. Zurii

  Zurii Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  We mzizi hii ni serious issue unaleta utani basi wewe ndo waziri eee au ulikuwepo kwenye kikao. Ngeleja kakutuma utupe taarifa
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Whateverrrr!
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jiendee mwanangu. Hapa hakuna cha huruma kwa watu maana kama ingekuwapo ungechukua hatua kabla ya mgomo uliosababisha vifo. Usomi na huruma gani hivyo mwanangu? Nenda tu historia ni hakimu kama kweli unayosema yanatoka moyoni na si usanii wa chama chako na bosi wako.
   
 11. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Hiyo "Nitajiuzuru" ilitakiwa kuwa nimejiuzuru, anazidi kuchelewa tu. Ma dr hakuna kurudi nyuma!.
   
 12. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  poa tu hata kama anaachia ngazi kwasababu nyengine ili mradi asepe tu.....
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  anachelewa nini sasa?
   
 15. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkewe amemkatalia!
   
 16. 911

  911 Platinum Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Akiwa anaenda amuombe pia Blandina Nyoni na L Nkya wamsindikize!suala la uwajibikaji kwa wabongo bado ni GENI sana!grrrrrr
   
 17. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waiting forward to hear more about this ................
  Thanks for hints
   
 18. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi nitampongeza sana no matter what he did wrong before ..akiamua yy kujiuzuru na kumpatia taarifa rais ...maana anaweza kukatariwa kisiasa asijiuzulu ...but that should be personal too kamayy anaona ataokoa maisha ya watu basi ni vema kuliko repuation za chama au serikali....

  Inaonekana hawa jamaa Dr hawatarudi nyuma..serikali dont get twisted
   
 19. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  TV ipi wakati nazenyewe sasa hivi zimejaa magamba habari muhimu hawazitangazi
   
 20. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  halafu mimi huwa nakukubali sana kwa mambo yako haya ya picha! Hebu nipe nyingine mwanangu acha madaktari wagome kivyao
   
Loading...