Kama mawaziri na waheshimiwa wengine wananunua,basi biashara hii ihalalishwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mawaziri na waheshimiwa wengine wananunua,basi biashara hii ihalalishwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lukatony, Mar 9, 2012.

 1. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ni matumaini yangu wapendwa,wengi wetu tumeshuhudia,au sisi wenyewe kwa namombna moja au nyingine tumehusika moja kwa moja na biashara hii ya uchangudoa!!ombi langu ni kwamba biashara hii ihalalishwe!tra watapata kodi,na hata wizi unaofanywa na wahusika wa biashara hii utapungua!!kwani wataonyesha vitambulisho vya kazi,na mambo kama ya yaliyomkuta mheshimiwa morogoro yatapungua!!wangapi ni mashaid,machangudoa wanajazana dodoma wakati wa bunge?na vijana wangapi wajanja waliopitia vyuon bumu likitoka hawaendi kutembelea ambiance,jolly,enz za kili,kimboka wakati inaanza,sewa bar,sugar ray?tuwe wakweli biashara hii yapaswa kuhalalishwa!!!forget about magonjwa!!tahadhari itatolewa kama ilivyo kwa sigara!!!!au pombe inavyofanya wizara ya afya!!!!na masai wake wanaosahau boma!!
   
 2. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Eeeee wananunua, si ndiyo maana kipindi cha bunge, machangudoa wote wanahamia Dodoma, wateja wao wanakuwa huko
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ndio sababu wanalilia posho kubwa - gharama za maisha zimepanda Dodoma!
   
 4. N

  Ndole JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi kuna machangu wa kiume pia? maana naona bi Kiroboto huwa anashadadia posho kama nini.
   
 5. S

  Shembago JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani kwa utamaduni wetu wa Kitanzania kuruhusu huu ujinga itakuwa njia ya kuruhusu Ucameroon! Kitu ambacho naomba Mungu atuepushe na janga hili.
   
 6. 654

  654 Senior Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mercy!
   
 7. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  TRA inapoteza makusanyo ya kodi. Inabidi kuwe na VAT kila ***li.
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ewe mungu tuepushie mbali na janga hili.
   
 9. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,062
  Likes Received: 1,450
  Trophy Points: 280
  ....Halafu SITINGI ALAWANSI haziwatoshi! Makinda, Ongesea hao watu POSHOZ!
   
 10. m

  moshingi JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu umesahau Mtaa wa sikukuu-K/koo, Keys Hotel mtaa wa uhuru, Tazara hostel, Kinondoni makaburini, Baa zote kubwa zenye kujaa watu kila pembe ya mji...Lakini hiyo siyo sababu ya kuihalalisha Sodoma na Gomora...ni hatari
  kwa taifa, tutapigwa laana na taifa litaangamia...waheshimiwa walioibiwa wanastahili kwani dada zetu nao wanaambulia
  fedha za ufisadi ambazo sisi kama taifa tumeibiwa...tena ninawaomba dada hao wazidi kuwaibia hao mafisadi...
   
Loading...