Pendekezo-baraza la mawaziri la chadema 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo-baraza la mawaziri la chadema 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 8, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Napendekeza Baraza hili la Mawaziri la CHADEMA uchaguzi mkuu 2015 ili liweze kutufikisha pale tunapopahitaji Watanzania:
  1. Freeman Aikaeli Mbowe-Rais
  2. DR. Wibroad Slaa-Waziri Mkuu
  3. Ulimboka Stephen-Waziri wa Afya
  4. Zitto Zuberi Kabwe-Waziri wa Fedha
  5. Deus Kibamba-Waziri wa Sheria na Katiba
  6. John Mnyika- Waziri wa Nishati na Madini
  7. Jenerali Ulimwengu- Waziri wa Mambo ya nchi za nje
  8. Godbless Lema-Waziri wa Mambo ya Ndani
  9. Ananilea Nkya-Waziri wa Wanawake jinsia na watoto
  8. Ezekiel Wenje-Waziri wa Kilimo na Uvuvi
  9. Hellen Kijo Bisimba-Waziri wa Uhamiaji(wizara mpya)
  10. Joseph Mbilinyi-Wizara ya Starehe burudani na Michezo
  11. Rose Mwakitwange-Waziri wa utawala bora

  Unaweza kuongeza au kuwaondoa wasiyofaa.
  Nawasilisha.
   
 2. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unajua 91% ya baraza lako ni Wakristo watupu? That reveals the hidden agenda behind CHADEMA!
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Baraza la namna hii ni la kuongoza familia sio nchi. Kama ukiwapa ruhusa wanaweza ongoza familia yenu au yako ila si watanzania

   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahahaha hiyo ni kamati ya harusi au????
   
 5. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Go to hell
   
 6. B

  BE IN U Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa agenda ya aliye post hii thread kunawatu humu sijajua kwanini kawaingiza
   
 7. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Nilidhani watu wanapewa nafasi kutokanaa na uwezo wao kiutendaji pasipo kuangalia dini au,au kabila.
   
 8. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Uvunjwe muungano kwanza, maana waznz siwaoni? hiyo itakuwa kamati ya kuchangia jumuia sio baraza la mawaziri.
   
 9. F

  Fofader JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kaskazini oriented.
   
 10. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo kwa akili yako wakristo ndio wenye uwezo tu?
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nchi haitatawalika limejaa wanaharakati wengi wanaweza kuacha kukusanya kodi kwa madai ya kwamba wananchi wanaumia
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  si kila apigaye kelele ni kiongozi mzuri wengine waache hapa walipo huko juu watakwenda kuvuruga nchi
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Baraza zuri ila linaonekana kama lina watu ambao sio wanasiasa na hawajawai kusema wapo upande gani wa vyama vya siasa..nasema hivyo isije ikaleta picha mbaya kwa wabaya wa CHADEMA kuwa wanaharakati ni wana-CHADEMA..vinginevyo labda tuiseme sisi tutaunda baraza la mawaziri au serikali mseto ikimaanisha tutachukua mtu makini yoyote kutusaidia.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Waislamu tunaonewa huu ni mfumo kristo.
   
 15. b

  binti ashura Senior Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  ukiachana na kuwa wengine hapo umewapendekeza ambao siyo wanachama wa chadema pia kuna baadhi ya watu kwa sasa ni wabunge ila mwaka 2015 hawatakuwa wabunge kwakuwa hata ndani ya chama hawata shinda labda kama watapata uteuzi mala mbili kwanza kuteuliwa kuwa wabunge na pili kuteuliwa kuwa mawazili.
   
 16. Z

  Zote Tamu Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  John Magale Shibuda waziri wa nishati na madini!
   
 17. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  State man is thinking about future generation
  But a Politician is thinking about future election.
   
 18. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Code:
  
  
  Hivi kitu kigani kimefanya udhani kuwa waliotajwa ni wakristo?
  Kama umesoma majina, mhhh, sidhani kwani Asha Rose Migiro ni dini gani? Bob Makani Je? Kingunge? na wengine kama hao?
  Nadhani kwa kuangalia majina tu, na kutafuta dini zao una lako jambo! na haikupi uwezo wakuitimisha kuwa wengi wa hao ni wakristo!
  Samahani lakini ..................................
   
 19. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Too early to judge!umewaacha wengi wenye uwezo!wapi lissu,Prof Safari,Prof Baregu,nk!they should have been in your list!
   
 20. Mh SAMBALA

  Mh SAMBALA Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Litakuwa baraza kivuli kwa sababu CCM watashinda uchaguzi...tena 2015
   
Loading...