CHADEMA HAOOOOOOOOOOOOO! Star tv live now! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA HAOOOOOOOOOOOOO! Star tv live now!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Mar 10, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Jamani chekini star tv sasa hivi muone makanda chadema............!
   
 2. G

  Ginner JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  tunafatilia mjadala kwa umakini
   
 3. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Naiona helikopta yashuka polepole.
   
 4. m

  majogajo JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  bunge aliyezaliwa arumeru ndo anatoa salam sa hv ni rebeka mgodo
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kama wasanii vile. Wazuri katika siasa za majukwaani, lakini ki-uhalisia so empty au kwa vile kuna akina sugu.
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  chadema chama kwanza ubabaishaji kule ccm mimi kwanza ubabaishaji hapa
   
 7. m

  majogajo JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tanesco wamechukua umeme wao ili tusione, so tupeni update na hii kama chadema watakuwa wanautubia kila siku si itachangia kupunguza pato la taifa.
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh mbona watu kiduchu hivi aisee, ndio mlio sema umati? Kweli jimbo limekwenda ccm
   
 9. k

  kitero JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani ningekuwa hom ninge angali ,
   
 10. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  Na mie nafuatilia kwa makini .Leo nimepata mawazo naomba wahusika walisikie hili kwa kuwa CDM kimeshakuwa chama cha kitafaifa matukio kama haya yawe yanaonyeshwa kwenye screen kubwa kwenye ofisi zetu mikoani hii italeta hamasa kubwa naomba lifanyiwe kazi.
   
 11. SOTI

  SOTI Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Tanesco wameshakata umeme tabata,hii haikubaliki
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watu kiduchuuuuu, ha ha haaaaaaaaaa jimbo limeisha ondoka
   
 13. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  Inawezekana unaangalia nyuma ya screen.Msikilize angelo Moleka (mtangazaji) anasema haijawahi kutokea miaka ya karibuni umati mkubwa kama huo.
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakuna kitu na mwenyewe si CDM unafikiri atasemaje? Ila wote tunaangalia hakuna umati hapa , ha ha haaaaa
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mwanaasha at work!
   
 16. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  Kakojoe ulale pimbi we
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kuna nini basi? Ulitaka wawe wangapi ndipo useme kuna umati?
   
 18. m

  majogajo JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  maliza kuongea vicent nyerere
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakuna kitu hakuna umati wowote, ha ha haaaa .Mpaka sasa hakuna jipya zaidi ya kuomba huruma za polisi, tume, nk ukiisha ona kauli za huruma ujue chama hakina jipya
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Umati ungeonekana , hawa ni watu wa kawaida sana kwa idadi, ha ha haaaaa hakuna umati hapa aiseee
   
Loading...