Picha:Utetezi wa Zanzibar na watu wake – katiba

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1][/h]Written by Mrfroasty (Ufundi) // 09/03/2012 // Habari-Picha // 1 Comment

Wananchi mbali mbali walioshiriki katika Mhadhara wa Kiislamu uliofanyika leo uwanja wa Ijitimai huko Mwanakwerekwe, Mhadhara huo umetayarishwa na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) juu ya kuwahamasisha wazanzibari kutetea nchi yao wakati wa mchakato wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakapoanza, Mhadhara kama huo utafanyika kesho hapo hapo jioni, Na asubuhi kutakuwa na mkutano uliotayarishwa na Baraza la Katiba likiwa na lengo la kutoa elimu kwa raia juu ya katiba mpya hapo Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) Ally Saleh ataongoza na huko Wete Pemba Professa Abdul Shareef atakuwepo Chuo Cha Benjamini Mkapa Wete karibuni kwa wingi kwenda kusikiliza na kutoa maoni yenu juu ya katiba mpya itakayoanza hivi karibuni

Written by Mrfroasty (Ufundi) // 09/03/2012 // Habari-Picha // 1 Comment

Kwani jukumu la kuitetea Zanzibar ni la Wazanzibari au waisilamu?

Inaonewa na nani?
 
HUYO ANAYEJIITA MrFroasty Ufundi ni mod wa mtandao wa kibaguzi wa ZNZ Unaitwa mzalendo net.Kwenye mtandao huo ukiwa na ID ya kitanganyika au kikristo maoni yako yanafutwa na mada zako zinafutwa,yaani ni full ubaguzi kama namna gani na sisi tuipotezee.
Yaani kwenye huo mtanadao wao hakuna kumkosoa Maalim na Jussa ni kuwaunga mkono tu.kama namna gani PASCO iondoe hii mada yao waipeleke mzalendo net.
 
Back
Top Bottom