A Quote of the day!

mwikumwiku

Senior Member
Jul 15, 2011
153
35
"A Govt which uses power/force to rule it's people teaches the people to oppose the Govt"

Hon. Mbowe quoting Comrade Mandela!

Nawaalika wanajamvi tutafakari kauli hii vs ubabe vyombo vyetu vya dola hasa Polisi!

Pipooooooooooooooooooooz pawaaaaaaaaaaaaaa!
 
ondoa kwanza hiyo apostrophe kwenye it's

Nimeondowa mkuu! msumari unachoma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Pole Raia Fulani! Semi za wahenga zinachoma!!!!!!!!!! Dawa ni kukaa mbali na maeneo ambayo yanawezasababisha ukachomwa!
 
Mh. Mbowe amesema ilivyostahili kabisa kwa wakati sahihi...hakika wakati uliokubalika ndio sasa; tukumbuke alivyosema Martin Luther King Jr. .."The Right of the individual is not given by grant from the oppressors, it should be demanded" wanachokifanya CCM, wanataka siku moja tuseme sasa basi, hakuna dhuluma tena.
......."TUMEANZA NA MUNGU TUNAMALIZA NA MUNGU.....CHADEMA"
 
Haya tunataka tufanye show ya helkopter,watawezaaaaaaa??? Peoplezzzzzzzzz powerrrrrrrrrr!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom