Hatutajikomboa mpaka tuwe na vyama vya siasa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatutajikomboa mpaka tuwe na vyama vya siasa!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Mar 10, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Siku Tanzania tukiwa na vyama vya siasa vya ukweli kama ilivyokuwa enzi za TANU na ikifika siasa za kweli zikifanyika kwenye nchi yetu, ndipo tutakuwa na uwezo kuijenga nchi yetu na kusonga mbele. Haya makundi ya watu yanayojiita "vyama vya siasa" hayana uwezo wa kutusaidia hapa tulipo wala kule tunapokusudia kwenda.

  MUNGU IBARIKI NCHI YANGU YA TANZANIA!!
   
Loading...