Kama kuna kitu nisichomuelewa Pinda basi ni hiki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kuna kitu nisichomuelewa Pinda basi ni hiki!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Barbaric, Mar 10, 2012.

 1. B

  Barbaric Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu pinda anawaona madaktari kuwa watu wasio na utu kwa kugoma kuwatibu watanzania mpaka pale waziri mponda na naibu wake wajiuzuru.
  kwa upande wangu mi naona pinda ndo mtu asiye na utu kwa kugoma kuwachukulia atua waziri na naibu wake hata kama watanzania wataendelea kufa, yaani kuwambia tu waziri na naibu wake wapumzike ili watanzania wapate tiba anaona shida, ni bora wafe ila waziri na naibu wake waendelee kuwepo madarakani.
  hata ivo hata mawazir hao wakiendelea kubaki madarakani sidhani kama watafanya kazi kwa morari yote!
  Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki CHAMA CHA MADAKTARI
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ah pinda hamna mtu pale
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Na kila uchao sura yake inabadilika kuwa kama ya DUBU, khaaaaa!
   
 4. P

  Praff Senior Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi walio wengi ni majina tu sio watendaji.
   
 5. I

  Idofi JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1,541
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  mjinga mjinga tu huyo tanzania haina viongozi ina manyang'au tu
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Pinda kazi ya uwaziri mkuu imemshinda na hana cha kufanya zaidi ya kila siku kutishia watu,kadri siku zinavyoenda ndivyo nguvu aliyokuwa nayo inazidi kusiha na ipo siku atatoa tamko na watu watabaki kumcheka tu bila kutekeleza.
   
 7. vimon

  vimon Senior Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  anaitwa mamba na madaktari ndio jina lake jipya
   
 8. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  akisema hivyo daktari mmoja haimaanishi wote wamesema. nyoosha maelezo yako usiwagombanishe watu kwa kuwachomekea matusi. madaktari hawako hivyo ebo!
   
 9. c

  cesc Senior Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :sleepy:
   
 10. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Pinda nilishakosa imani nae toka siku nyingi, hebu ajiulize mbona hatujawahi kusikia yeye au mawazi wake kuwa mishahara au posho zao zimechelewa?? yeye alipokutana nao siku ile akakubaliana nao kuwa ndani ya mwezi mmoja atakuwa emeshughulikia matatizo yao hakujua kuwa mwezi ni siku 30?? kwanini yeye na rais wake wasingeacha kwenda kutalii wakasimamia hilo zoezi mbona siku 30 ni nyingi kama kweli watu wanawajibika. ifike mahali waelewe siku hizi siyo kama zamani enzi za tuko kwenye mkakati, mchakato,hatua za mwisho, tumeunda kikosi kazi... hizo siku hizi ni hadithi
   
 11. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Naogopa kumlaumu Pinda moja kwa moja.Si alisema anasubiri uamuzi wa mwenye mamlaka zaidi yake yaani aliyewateua?
   
 12. D

  Dopas JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nakiri kuwa Pinda amejitahidi kuwa mwaminifu, yaani sio mfujaji wa kodi za wa Tanzania. Kwa hiyo ningesema wazi Pinda sio Fisadi, wala sio mshirika wa mafisadi. Ila Pinda uwaziri mkuu unampwaya sana. Pinda ameonesha dhahiri kuwa uwaziri mkuu umemshinda: hana maamuzi, hatumii nafasi aliyonayo vizuri, ni mwoga wa maamuzi. Uwaziri mkuu ni mkubwa mnooo kwake. Sana sana ana uwezo mkubwa wa kulia lia kama jambo likitokea, nahisi hata hili la madaktari alilia lia, labda vyombo vya habari havikuonesha.

  Kwa maoni yangu, angeomba tu apunguziwe majukumu haya, aombe kujiuzulu, sio aibu kujiuzulu nafasi yoyote. Aibu ni kufukuzwa. Halafu kwa vile yeye hana kashfa za UFISADI, ataishi tu kwa amani nasi mitaani, kuliko kutesekea kwenye ofisi ambayo imemshinda tayari.

  Kinyume na hayo, basi Pinda abadilike, aoneshe kuwa yeye ni Waziri Mkuu na atumike vizuri katika nafasi hiyo. Au bado anazoea ofisi????
   
 13. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,081
  Likes Received: 1,728
  Trophy Points: 280
  Ni Mgonjwa!
   
Loading...