CD za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA A-MASH. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CD za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA A-MASH.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JACADUOGO2., Mar 10, 2012.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tunaomba kujua wapi na jinsi gani ya kupata CD za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Arumeru Mashariki. Mimi niko Mwanza, ila ni vizuri kwa yeyote anayetoka sehemu yoyote Tanzania kuelekeza kwa wadau jinsi ya kuzipata. Ni muhimu sana makamanda!
  Nawasilisha....!!!!
   
 2. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umesema kweli ntawcliana na ndugu zangu kule!
   
 3. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tujulishwe, tunataka kuona yale ambayo startv haikuyaonyesha.
   
Loading...